Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,247
Huyu jamaa bado hajasema, mpaka aseme
Kwani kuna uhusiano gani kati ya sadaka alizozitoa kumpa Lissu linapokuja suala la Lissu kugombea nafasi ya Uenyekiti mpaka akumbushie sadaka alizompa Lissu?
Kumpa nyumba ya kukaa pale Dodoma inaleta uhusiano wowote kwenye kugombea nafasi aliyonayo mbowe au ndio kubanwa huko?
Kutoa nauli za ndege sijui fedha za kwenda kuwatetea wananchi mara machimboni huko, kuna uhusiano upi Lissu anapohitaji kugombea nafasi ya Uenyekiti Taifa?
Mbowe awe mkweli, mi nadhani kuna siri kubwa zaidi ya madai yake haya yasiyo na mwelekeo wowote
Yeye aseme kama kuna mkataba aliousaini huko gizani watu wengi na wanachadema tusijue
Maana hata ukiangalia, watu wengi wanaomtetea Mbowe, ni makada wa CCM
Yaani CCM ndio wawe na huruma mno na Chadema kuliko wanachadema wenyewe, kweli?
Hakuna mkataba wowote uliosainiwa kati yao hawa wapendanao?
Kama lipo lililojificha, Mbowe atoke hadharani pia aliseme tu, maana si kwa kugombana huko na kila mwenye kutia nia nafasi ya Uenyekiti
Lissu kamatia hapo hapo mpaka aseme kwani bado hajasema!