steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Hahaaaaaaaa,nimeshamjua,mwanga mwanga hivi kwa sanaaa,basi ishia hapo hapoNi maarufu humu tena kapotea hichi kipindi cha uchaguzi alipoona mambo yameenda mlama kala kona.. hivyo kaamua kufanya vitu vyengine kaachana na mambo ya bongo sahivi ndo anadili na mambo hayo sasa..😂