Hakuna ujanja kama kutembea na Muhudum wa kaunta

Hakuna ujanja kama kutembea na Muhudum wa kaunta

Ni maarufu humu tena kapotea hichi kipindi cha uchaguzi alipoona mambo yameenda mlama kala kona.. hivyo kaamua kufanya vitu vyengine kaachana na mambo ya bongo sahivi ndo anadili na mambo hayo sasa..😂
Hahaaaaaaaa,nimeshamjua,mwanga mwanga hivi kwa sanaaa,basi ishia hapo hapo
 
Mkuu halafu huwa wengi wao ni wazuri na wanajuwa kuongea na wateja!

Sema mimi nilivoachaga wanawake nikahamia kwenye pombe ndo habari ikaisha hivo ! Ila nawakubali sana.
 
Back
Top Bottom