rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Hakuna Msg inamtoa mwanaume Jasho LA kutosha Kama Hiiii bora Uombwe hela.. Hapo ndo huwa unaapa viapo vyote kuwa hutaenda kavu tenaa na kujiona mjingaa kabisaaa...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huwa unamjibu vipi akikwambia hivyo??
Huwa unamjibu vipi akikwambia hivyo??