Hakuna ujumbe unamtoa mwanaume jasho kama "sizioni siku zangu"

Hakuna ujumbe unamtoa mwanaume jasho kama "sizioni siku zangu"

Kumbe huwa mnapanic....
Pamoja na yote ila hii pia huwa ni mbinu ya kupigia mzinga, hata yule mwenye masters ya ubahili hapa hachomoki, yani hachomokii
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji16][emoji16][emoji16]Unapigwa kizinga safiii
 
Kwani mara ya mwisho uliziacha wapi?

Una namba zake tuzibip?
 
Kumbe huwa mnapanic....
Pamoja na yote ila hii pia huwa ni mbinu ya kupigia mzinga, hata yule mwenye masters ya ubahili hapa hachomoki, yani hachomokii

Hujawakuta wenye PhD ya ubahili, yani unakanwa wewe pamoja na mimba yako, mtu anakujibu sikufahamu mchana kweupee
 
fresh tu labda kama ni mwanafunzi, unatangulia kujishtaki kwa wazazi wake kabla hawajaamsha dude
 
Mbaya zaidi awe Mwanafunzi, April Mwaka Jana demu wangu Mmoja mwanafunzi (Alikuwa Form 5) nikamuwasha baada ya wiki kadhaa ati haoni siku zake, Nilipanik nikaziona mvua 30 zilee... kumbe zile ratiba zao huwa zinashake hata kwa Range ya Mwezi!
Kwani mkuu ulipiga ukadondosha yote humo
 
Halafu sijui mim nina moyo wa aina gani? Yaani ukiniambia hvyo huwa siwazii nin itahappen huwa nakausha tu.
 
Back
Top Bottom