Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
Ulivyojibu kama wa maana vile 😀😀😀😀😀😀Ilinitokea Mimi juzijuzi tu msala was mimba sio POA
View attachment 886817View attachment 886818View attachment 886819
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulivyojibu kama wa maana vile 😀😀😀😀😀😀Ilinitokea Mimi juzijuzi tu msala was mimba sio POA
View attachment 886817View attachment 886818View attachment 886819
sjajua mshtuko unakuja vipi wakat nyote mwajua mkifanya siku za hatari mimba itakuwepo labda sababu maalum tu ziwepo, halaf unaambiwa siku sizioni mtu anamaka hahahaKama mim sinaga muda wa kushtuka
Ukishasema tu.. Natulia nakupa muda labda siku zimepishana bdala ya hapo nikiona tofauti jiandae kujifungua baada ya miezi tisa... Ntalea hata kama mtoto siyo wangu.sjajua mshtuko unakuja vipi wakat nyote mwajua mkifanya siku za hatari mimba itakuwepo labda sababu maalum tu ziwepo, halaf unaambiwa siku sizioni mtu anamaka hahaha
Ukishasema tu.. Natulia nakupa muda labda siku zimepishana bdala ya hapo nikiona tofauti jiandae kujifungua baada ya miezi tisa... Ntalea hata kama mtoto siyo wangu.
hili jibu ni muafaka,shida akiwa mwanafunziUkipanic tu wanakula mpunga wako. Wanawake tena hao madenti ndo wajanja, mashakumaku na mabaradhuli hujawahi kuona. Anakutega ili umpe pesa ya kutolewa mimba hewa.
Wewe mwambie azae tu utalea mtoto uone kama mimba haijapotea katika mazingira ya kutatanisha.
Ndyo hvyo..Kama tarehe imepita anatakiwa ake hata wki mbili kujiangalizia zikipita zii hapo kipimo muhim kuthibitisha
hayaNdyo hvyo..
Kumbe huwa mnapanic....
Pamoja na yote ila hii pia huwa ni mbinu ya kupigia mzinga, hata yule mwenye masters ya ubahili hapa hachomoki, yani hachomokii
Kumbe huwa mnapanic....
Pamoja na yote ila hii pia huwa ni mbinu ya kupigia mzinga, hata yule mwenye masters ya ubahili hapa hachomoki, yani hachomokii
Mwanafunzi asikutishe. Hakuna mwanafunzi makini wa kutiwa mimba.hili jibu ni muafaka,shida akiwa mwanafunzi
Hakuna Msg inamtoa mwanaume Jasho LA kutosha Kama Hiiii bora Uombwe hela.. Hapo ndo huwa unaapa viapo vyote kuwa hutaenda kavu tenaa na kujiona mjingaa kabisaaa...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huwa unamjibu vipi akikwambia hivyo??
Ulimpiga kipigo cha nguvu akarusha sikuMbaya zaidi awe Mwanafunzi, April Mwaka Jana demu wangu Mmoja mwanafunzi (Alikuwa Form 5) nikamuwasha baada ya wiki kadhaa ati haoni siku zake, Nilipanik nikaziona mvua 30 zilee... kumbe zile ratiba zao huwa zinashake hata kwa Range ya Mwezi!
Ka show kakuchovya tu ha ha haHahaha, inauma sana, halafu unakuta shoo ilikuwa ya kizushi, eti unaambiwa hivyo.
Kama show ni za kueleweka ushirikiano unautoa bila kinyongo.
EwaaNaona huyo anataka ndoa ya mkeka