Afu ukute n studentHakuna Msg inamtoa mwanaume Jasho LA kutosha Kama Hiiii bora Uombwe hela.. Hapo ndo huwa unaapa viapo vyote kuwa hutaenda kavu tenaa na kujiona mjingaa kabisaaa...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huwa unamjibu vipi akikwambia hivyo??
Wakusoma wengi huwa wanapanic Sana aisee... Uogaa tuu wanaogopaa sanaMbaya zaidi awe Mwanafunzi, April Mwaka Jana demu wangu Mmoja mwanafunzi (Alikuwa Form 5) nikamuwasha baada ya wiki kadhaa ati haoni siku zake, Nilipanik nikaziona mvua 30 zilee... kumbe zile ratiba zao huwa zinashake hata kwa Range ya Mwezi!
Ulanzi uliokunywa leo utakuwa upo on point sana mkuu...Kama hazioni azitafute tuu huko ndani, kuna mahala atakua aliweka akasahau...
Naona huyo anataka ndoa ya mkekaIlinitokea Mimi juzijuzi tu msala was mimba sio POA
View attachment 886817View attachment 886818View attachment 886819