Hakuna ujumbe unamtoa mwanaume jasho kama "sizioni siku zangu"

Hakuna Msg inamtoa mwanaume Jasho LA kutosha Kama Hiiii bora Uombwe hela.. Hapo ndo huwa unaapa viapo vyote kuwa hutaenda kavu tenaa na kujiona mjingaa kabisaaa...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Huwa unamjibu vipi akikwambia hivyo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…