Mama Edina JF-Expert Member Joined Dec 18, 2022 Posts 850 Reaction score 2,019 Dec 25, 2022 #1 Watu wanashindwa kuhimili uwezo wa mambo flan flan kama pombe tatizo uwezo wa vichwa vyao. Hakuna ulevi tatizo ni uwezo wako mdogo wa ubongo wa watu wengi.
Watu wanashindwa kuhimili uwezo wa mambo flan flan kama pombe tatizo uwezo wa vichwa vyao. Hakuna ulevi tatizo ni uwezo wako mdogo wa ubongo wa watu wengi.
hydroxo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 3,553 Reaction score 7,334 Dec 25, 2022 #2 Nna uhakika ushakunywa pombe.
Papaaa mukuubwaaa JF-Expert Member Joined Jan 26, 2023 Posts 1,534 Reaction score 1,511 Mar 7, 2023 #3 Njoo dm
berylyn JF-Expert Member Joined Dec 26, 2021 Posts 877 Reaction score 2,618 Mar 7, 2023 #4 hydroxo said: Nna uhakika ushakunywa pombe. Click to expand... Tena anaonekana kanywa mataptap.[emoji3]
hydroxo said: Nna uhakika ushakunywa pombe. Click to expand... Tena anaonekana kanywa mataptap.[emoji3]
K kidole cha simba JF-Expert Member Joined Jun 3, 2022 Posts 1,994 Reaction score 2,510 Mar 7, 2023 #5 Mama Edina said: Watu wanashindwa kuhimili uwezo wa mambo flan flan kama pombe tatizo uwezo wa vichwa vyao. Hakuna ulevi tatizo ni uwezo wako mdogo wa ubongo wa watu wengi. Click to expand... sure!! nakumbuka nilipokuwa chuo,,,sisi walevi sugu tulikuwa tunafanya maajabu sana kwenye mitihani,,,wasiokunywa au wale wanaolewa robo walikuwa vilaza
Mama Edina said: Watu wanashindwa kuhimili uwezo wa mambo flan flan kama pombe tatizo uwezo wa vichwa vyao. Hakuna ulevi tatizo ni uwezo wako mdogo wa ubongo wa watu wengi. Click to expand... sure!! nakumbuka nilipokuwa chuo,,,sisi walevi sugu tulikuwa tunafanya maajabu sana kwenye mitihani,,,wasiokunywa au wale wanaolewa robo walikuwa vilaza