Hakuna umuhimu wa ndoa karne hii kwa sababu hizi

Hakuna umuhimu wa ndoa karne hii kwa sababu hizi

1.Zamani unatongoza miezi sita mpaka mwaka, Sasa hivi unaingia Dm,pm, messeger, unapata mwanamke na MATUSI yanafanyika siku hiyo hiyo.
2.Center za kuuza unyumba ni nyingi, kiasi zipewe usajili na Kuwa vyanzo vya mapato Kwa serikali.(nitakuja na Uzi wa kutaja hizi center kurahisisha wahitaji kwani sharing is caring ). Uchi sio issue zama hizi.
 
Kiukweli hali ni mbaya mno huku mtaani,, wanawake tumekuwa wepesi na rahisi sana

Wengi hatuna thamani machoni pa wanaume[emoji22] inafikia hatua mtu anajilipia mahari, hali sio aisee
Umeandika kwa hisia sana na kuoneshwa kukerwa sana pole ndugu
 
Back
Top Bottom