johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jana nilimuelewa sana Katibu mkuu Kiongozi balozi Katanga.
Hakuna mafanikio ya serikali kama kila wizara itatenda kivyake na kutafuta sifa binafsi.
Ni lazima pawepo coordination baina ya wizara na wizara.
Watu watapunguza matumizi ya mawasiliano na kwa kufanya hivyo kodi itapungua sasa huyo Mwigullu Nchemba atazitoa wapi hizo sh 2 trillion alizoagizwa na makamu wa Rais Dr Mpango?
Maendeleo hayana vyama!