Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Upo sahihi, bila hivyo Ndungulile asingeweza kutufanyia unyama kama huuHuu mchakato ulianza toka February, yeye akiwa madarakani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi, bila hivyo Ndungulile asingeweza kutufanyia unyama kama huuHuu mchakato ulianza toka February, yeye akiwa madarakani
Apambane na kilanja wake mpyaJuzi pia wakati akiapishwa makamu wa Rais nimemsikia akigongelea hapo hapo anataka mapato yaongezeke angalau kufikia trillion mbili, na akasisitiza hili linawezekana kabisa.
Kazi ipo.
Kusema huu mchakato ulianza wakati wa Magufuli ni sawa lakini hiyo mentality bado inaendelezwa na waliopo, wanadai mwendo ni ule ule, hapa mwendazake aachwe aende tu asisumbuliwe.
Asubuhi hujaonekana tukajua bando imekata bwashee!MATAGA wengi wao hali zao za kiuchumi wapo hoi bin taaban kwahiyo usishangae tukawasahau hapa jamvini
Hii jF nimegundua imejaa masikini wengi, kuliko wanavyojitapa kwenye comment na nyuzi zao😅.Emagine kuanzia asubuhi, mpaka Sasa maada ni swala la vifurushi kiasi kwamba ile mijadala ya kisasa imepungua kabisa 😂. Ile kasi ya nyuzi kuwa na comment 500 kwa dk 50 siioni tena.Huu mchakato ulianza toka February, yeye akiwa madarakani
Ndungulile lazima alitumwa na bosi wake kwamba ili tukusanye mihela mingi lazima wapandishe gharama za bandoNdugulile alitumwa na sidhani kama ulikuwa ni uamuzi wake yeye kama Waziri.
Duuuh, mkuu tangu asubuhi bado unalalamikia tu?Ndugulile alitumwa na sidhani kama ulikuwa ni uamuzi wake yeye kama Waziri.
Mkuu usifurahi mtu wa hali ya chini anapo pata shida huijui kesho yako Mungu tu anaijua kwa acha watu walie maana ndo walipo kua wanatoa povu lao kupunguza hasira.Hii jF nimegundua imejaa masikini wengi, kuliko wanavyojitapa kwenye comment na nyuzi zao[emoji28].Emagine kuanzia asubuhi, mpaka Sasa maada ni swala la vifurushi kiasi kwamba ile mijadala ya kisasa imepungua kabisa [emoji23]. Ile kasi ya nyuzi kuwa na comment 500 kwa dk 50 siioni tena.
Kama hii hali imesaidia kupunguza kelele humu, me naona iendelee tu.
Usichoelewa nini passport ni haki ila unailipia chukulia watanzania tuko milioni 60 wakitoa passport milioni 10 tu kila passport laki na elfu hamsini nchi itapata shilingi ngapi?Sentensi moja unasema passport ni haki ya kila mtanzania, sentensi nyingine unasema passport ni mgodi uliokaliwa. Hivi mataga mnatumia kiungo gani kufikiri?
Wanamsukumia lawama waziri, ila lingekuwa ni jambo la mafanikio, sifa zote zingeenda kwa Mwendazake na huyo Waziri hata asingetajwa.Ndungulile lazima alitumwa na bosi wake kwamba ili tukusanye mihela mingi lazima wapandishe gharama za bando
Au kama kukusanya mihela haikuwa lengo lao, basi walilenga kupunguza idadi ya watu wenye access na Internet, Yote hii ikiwa ni maandalizi ya mkakati wa mwendazake kubadili katiba ili atawale muda mrefu.
Hakutaka kelele za mitandaoni
Mimi sifurahii matatizo ya watu,ila nafurahishwa na nikichokigundua.Hapo zamani kabla ya vifurushi kupanda, humu jF Kila mmoja alikuwa anaweza kumtunishia misuli kiuchumi mtu yoyote kwenye hizi comments, tena wengine wanakwambia mara unaishi kwa shemeji na brabra nyingine 😅.Mkuu usifurahi mtu wa hali ya chini anapo pata shida huijui kesho yako Mungu tu anaijua kwa acha watu walie maana ndo walipo kua wanatoa povu lao kupunguza hasira.
Mwendazake ameenda zake, tambua hilo ndugu, move on na yaliyopo sasa. Mtamsingizia mwendazake mpaka kwa vitukuu wenu watakapozaliwa.Tukiwaambia kuwa mwendazake alikuwa anapenda maendeleo ya vitu na siyo maendeleo ya watu muelewe
Kwake kukusanya mihela mingi ilikuwa inampa furaha kuliko maisha ya watu yakiwa nafuu
Trioni mbili.kupata kazi ndogo tu sema wizara hazina uhusiano na wizara ya fedha
Waende uhamiaji waseme passport haki ya kila raia mwenye kitambulisho cha taifa watoe kwa watu milioni mbili tu kwa hiyo bei ya laki na nusu mwaka huu trilioni mbili kupata rahisi tu
Passport ni.mgodi wa pesa uliokaliwa
Ni sehemu yenye pesa ila wanabania wanaenda kukimbizana na machinga
😂😂Mimi sifurahii matatizo ya watu,ila nafurahishwa na nikichokigundua.Hapo zamani kabla ya vifurushi kupanda, humu jF Kila mmoja alikuwa anaweza kumtunishia misuli kiuchumi mtu yoyote kwenye hizi comments, tena wengine wanakwambia mara unaishi kwa shemeji na brabra nyingine 😅.
Leo nimefurahi kuona haohao waliowahi kunaimabia hivyo kwenye baadhi ya comments,nao eti wanalalamika bei za vifurushi😂.
Eneo la passpirt ni eneo la kukusanya mapato ya serikali ambalo haliumizi mlala hoi sababu mtu anajiendea mwenyewe na watu wako tayari kuzichukua ila uhamiaji wanabania passport zao!!!Sentensi moja unasema passport ni haki ya kila mtanzania, sentensi nyingine unasema passport ni mgodi uliokaliwa. Hivi mataga mnatumia kiungo gani kufikiri?
Watanzania kwa sasa tuko milioni 60 na tunaendelea kuzaliana kwa spidi ya kufa mtu na watu umri unaongezeka monthly kuna wanaotimiza miaka 18 na watoto kibao kila mwezi huzaliwa au unadhani population iko static ?Makusanyo ya trilioni mbili yanatakiwa kila mwezi.. na wala sio mwaka, je passport hizo milioni 2 zitalipiwa kila mwezi bei ya laki na nusu?
Watanzania kwa sasa tuko milioni 60 na tunaendelea kuzaliana kwa spidi ya kufa mtu na watu umri unaongezeka monthly kuna wanaotimiza miaka 18 na watoto kibao kila mwezi huzaliwa au unadhani population iko static ?