johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwendazake yuko wapi hapa?!!Tukiwaambia kuwa mwendazake alikuwa anapenda maendeleo ya vitu na siyo maendeleo ya watu
Kwake kukusanya mihela mingi ilikuwa inampa furaha kuliko maisha ya watu yakiwa nafuu
Huu mchakato ulianza toka February, yeye akiwa madarakaniMwendazake yuko wapi hapa?!!
Mbona Bashiru kaondolewa na aliteuliwa February hiyo hiyo?Huu mchakato ulianza toka February, yeye akiwa madarakani
Vifurushi leo tarehe 2 April ndiyo siku tuliyoambiwa vingeanza kutumika rasmiMbona Bashiru kaondolewa na aliteuliwa February hiyo hiyo?
Kwani kusitisha isingewexekana?Vifurushi leo tarehe 2 April ndiyo siku tuliyoambiwa vingeanza kutumika rasmi
Sentensi moja unasema passport ni haki ya kila mtanzania, sentensi nyingine unasema passport ni mgodi uliokaliwa. Hivi mataga mnatumia kiungo gani kufikiri?Trioni mbili.kupata kazi ndogo tu sema wizara hazina uhusiano na wizara ya fedha
Waende uhamiaji waseme passport haki ya kila raia mwenye kitambulisho cha taifa watoe kwa watu milioni mbili tu kwa hiyo bei ya laki na nusu mwaka huu trilioni mbili kupata rahisi tu
Passport ni.mgodi wa pesa uliokaliwa
Ni sehemu yenye pesa ila wanabania wanaenda kukimbizana na machinga
Hiyo inaitwa mbuzi kafia kwa muuza supuJana nilimuelewa sana Katibu mkuu Kiongozi balozi Katanga.
Hakuna mafanikio ya serikali kama kila wizara itatenda kivyake na kutafuta sifa binafsi.
Ni lazima pawepo coordination baina ya wizara na wizara.
Watu watapunguza matumizi ya mawasiliano na kwa kufanya hivyo kodi itapungua sasa huyo Mwigullu Nchemba atazitoa wapi hizo sh 2 trillion alizoagizwa na makamu wa Rais Dr Mpango?
Maendeleo hayana vyama!
Leo hayo maela kayaacha watu wanajipigia tuTukiwaambia kuwa mwendazake alikuwa anapenda maendeleo ya vitu na siyo maendeleo ya watu muelewe
Kwake kukusanya mihela mingi ilikuwa inampa furaha kuliko maisha ya watu yakiwa nafuu
MATAGA wengi wao hali zao za kiuchumi wapo hoi bin taaban kwahiyo usishangae tukawasahau hapa jamviniNadhani mtasevu MB zenu kuliko kuja kutetea kila aina ya takataka inayotoka kwa viongozi wenu
Keshatangulia kuhukumiwaMwendazake yuko wapi hapa?!!