Hakuna Usafiri wa Umma wa ovyo na Hatari Duniani kama Mwendo kasi Tanzania

Hakuna Usafiri wa Umma wa ovyo na Hatari Duniani kama Mwendo kasi Tanzania

Ni kweli, lakini kwanini tuchukue mfano huo, kwanini tusiangalie walioweza walifanyaje kupata mafanikio
Mtu akisema hakuna kitu kibaya zaidi duniani kama hiki, si unatafuta kibaya unachokijua ili ajue kile alichosema sio zaidi duniani? Si utakuwa mpumbavu ukichukua kizuri, na kwa lugha nyingine hutaki kuonyesha kuwa alikosea kusema kibaya zaidi duniani?
 
Km wameeambiwa wale kwa urefu ,unategemea nini??Sa100 amefelishwa na wahuni
 
Sijaelewa kwanini umetoa huu mfano.

Kwamba kwasababu Mumbai hali iko hivyo kwahiyo watu wa Dar hawatakiwi kulalamika au?
Sikiliza wewe pimbi Choji.

Mtoa mada amedai kuwa mwendokasi ni usafiri wa hovyo na hatari kuliko yote duniani.

Amefanya comparison wapi na wapi?
 
Usifanye jambo bovu halafu ufurahi eti kisa mwenzako anafanya vibaya zaudi yako. Mwendokasi zinavuja! Maboresho ni ya lazima hata kama mumbai kukoje sijui
Sikiliza wewe pwagu Mitumba.

Mtoa mada amedai kuwa mwendokasi ni usafiri wa hovyo na hatari kuliko yote duniani.

Amefanya comparison wapi na wapi
 
Dah nimecheka kinoma hiyo video ya jamaa... Dah aisee kuna haja gani ya kuitwa binadamu while we can not change things!?
 
Ungebahatika kufika Mumbai na kushuhudia usafiri wao wa umma wa mjini wa treni ambao ndio kama ilivyo mwendokasi kwetu, naamini ungefuta kauli yako. Kule kupitishwa kituo hasa kwa vituo vya katikati, ni jambo la kawaida kwa jinsi mtu anavyoweza kushindwa kuteremka kwa wakati. Hii sio picha ya kuigiza, ni hali halisi ya maisha ya kila siku ya wakazi wa Mumbai, hasa wanaobana matumizi (maana kule ukikata tiketi ya treni, unaitumia siku nzima, hata kama ulishuka na kwenda shopping)

View attachment 3312055
INdia ndyo nchi yenye population kubwa duniani hivo changamoto kama hiyo haiwezi kukwepeka tofauti na Tz population ndogo lakin Bado tatizo
 
Umesoma title yake lakini? Au umeenda moja kwa moja kwenye picha na video yake? Ngoja nikukumbushe alichosema:

"Hakuna Usafiri wa Umma wa Hovyo na Hatari Duniani kama Mwendo kasi Tanzania"

Sasa nirudi kwako kukuuliza. Je, Mumbai haipo duniani?
Hiyo ya Mumbai ni mwendo kasi au ni treni?
au mimi naona vibaya
 
Basi inapakia kuliko hata uwezo wake

Kesho zikilala gereji wanaopiga kelele usafiri hakuna ni hao hao waliojazana kupita kiwango...
 
Back
Top Bottom