Mtu akisema hakuna kitu kibaya zaidi duniani kama hiki, si unatafuta kibaya unachokijua ili ajue kile alichosema sio zaidi duniani? Si utakuwa mpumbavu ukichukua kizuri, na kwa lugha nyingine hutaki kuonyesha kuwa alikosea kusema kibaya zaidi duniani?Ni kweli, lakini kwanini tuchukue mfano huo, kwanini tusiangalie walioweza walifanyaje kupata mafanikio
Air tanzania imekaa sawa?Kama serikali inaweza kusimamia
Air Tanzania ina shindwa vipi kusimamia Mwendo kasi..?
Hakuna Mradi wa mtu mweusi uliozaa matunda.Mwendokasi ni failed project since day one !
Sikiliza wewe kunguni.Ni kweli, lakini kwanini tuchukue mfano huo, kwanini tusiangalie walioweza walifanyaje kupata mafanikio
Sikiliza wewe pimbi Choji.Sijaelewa kwanini umetoa huu mfano.
Kwamba kwasababu Mumbai hali iko hivyo kwahiyo watu wa Dar hawatakiwi kulalamika au?
Sikiliza wewe pwagu Mitumba.Usifanye jambo bovu halafu ufurahi eti kisa mwenzako anafanya vibaya zaudi yako. Mwendokasi zinavuja! Maboresho ni ya lazima hata kama mumbai kukoje sijui
Ame compare dar na miji mingine hapa Tanzania, ambapo kwake hiyo ndio "duniani" we lofa Mlolongo.Sikiliza wewe pimbi Choji.
Mtoa mada amedai kuwa mwendokasi ni usafiri wa hovyo na hatari kuliko yote duniani.
Amefanya comparison wapi na wapi?
INdia ndyo nchi yenye population kubwa duniani hivo changamoto kama hiyo haiwezi kukwepeka tofauti na Tz population ndogo lakin Bado tatizoUngebahatika kufika Mumbai na kushuhudia usafiri wao wa umma wa mjini wa treni ambao ndio kama ilivyo mwendokasi kwetu, naamini ungefuta kauli yako. Kule kupitishwa kituo hasa kwa vituo vya katikati, ni jambo la kawaida kwa jinsi mtu anavyoweza kushindwa kuteremka kwa wakati. Hii sio picha ya kuigiza, ni hali halisi ya maisha ya kila siku ya wakazi wa Mumbai, hasa wanaobana matumizi (maana kule ukikata tiketi ya treni, unaitumia siku nzima, hata kama ulishuka na kwenda shopping)
View attachment 3312055
Hiyo ya Mumbai ni mwendo kasi au ni treni?Umesoma title yake lakini? Au umeenda moja kwa moja kwenye picha na video yake? Ngoja nikukumbushe alichosema:
"Hakuna Usafiri wa Umma wa Hovyo na Hatari Duniani kama Mwendo kasi Tanzania"
Sasa nirudi kwako kukuuliza. Je, Mumbai haipo duniani?
Baada ya mwendazake, shirika gani la umma linafanya vizuri?Aliyepewa nafasi kwenye hiyo wizara hatoshi anafaa kujiondoa, ingekuwa enzi za Mwendazake leo tungesikia reshuffle
Tena wateja ambao hawapungui hata bei ya huduma ikiongezeka ππMwendokasi ndio biashara pekee ninayoufahamu ambayo inashindwa kustawi kutokana na wingi wa wateja wake.ππππ