Hakuna Usafiri wa Umma wa ovyo na Hatari Duniani kama Mwendo kasi Tanzania

Hakuna Usafiri wa Umma wa ovyo na Hatari Duniani kama Mwendo kasi Tanzania

Ni kher waruhusu magari binafsi yatoe huduma kama zamani kwenye njia ambazo ziliondolewa na kubakisha mwendo kasi tu.
Dart wameshindwa kutoa huduma kabisa kwenye njii hususani kimara gerezani ,kimara kivukoni.
Kwenye hizo root naona kinachofanywa ni kutesa tu hao wananchi wanaotumia usafiri huo hususani mida ya asubuhi na jioni
Haieleweki:

Dhumuni la Mwendo kasi ni nini hasa..?

Kupunguza Foleni barabarani?
Kupunguza shida ya usafiri?

Sababu mwendo kasi hazipunguzi foleni hapa mjini.!
Hakuna mtu ataacha Gari yake binafsi home au parking adandie mwendo kasi
Hasa ile mida ya tabu ya usafiri

Haipungizi shida ya usafiri sababu

Serikali inaua route za daladala : mpanho wa hovyo kabisa

Waacha wanaopanda dala dala wapande
Wanaopanda bajaj wapande
Wanaopanda pikipiki wapande

Njia pekee ya kupunguza foleni

Bus za mwendo kasi ziwe za kutosha
Msafiri asikae ziadi ya DKakika 15 kusubiri Bus stand

Usafiri huu ukiwa wa uhakika bila karaha na kwro basi mtu anaweza acha gari yake parking somewhere na kwenda mjini na mwendo kasi
 
Bonge la point.
Hivi yale mabasi ni ya serikali tu kwa sasa?
 
Swali langu hujanijibu. Ni swali genuine kabisa nataka kujua.

Hapana, mabasi ya mwendokasi hayatumii kiyoyozi. Na kipindi cha mvua ndo balaa, maana vioo vyote vinafungwa ili watu wasilowe na ule mminyano ni kuhemeana tuu.

Haya uko tayari Bwangosha nikupe royo tua tuzunguke ruti zote za mwendokasi ujionee mwenyewe? Bili juu yangu 😜.
 
Narudia Tena:
Hakuna Usafiri wa Umma wa Hovyo na Hatari Duniani kama Mwendo Kasi Tanzania

Kama serikali inaweza kusimamia
Air Tanzania ina shindwa vipi kusimamia Mwendo kasi..?

Mpaka kuwapa wapihgaji Moradi kama Hii..?!

Miradi kama hii nchi nyingine inaendeshwa na katika level ya Municipal!!

Usafiri wa umma siyo kwa ajili ya kutengeneza faida ..!

Ni kwa ajili ya kuchochea shuvhuliza jamii katika uchumi

Badala yake mmeweka maslahi yenu mbele na kuacha wanachi kweye HATARI KUBWA MNO NA TAABU ILE MBAYA..!

Bongo tupo nyuma sana aisee
Hiii ni aibu kubwa mno

Ikishafika jioni kama upo town usipande huu usafiri ni hatari mno na karaha yake ni kubwa kupindukia

Watoto wadogo wapo kwenye hatari kubwa mno maana huu usafiri kwao siyo rafiki kabisa

View attachment 3312027

View attachment 3312043View attachment 3312044
Wanahalibu ili wauziane mradi
 
Ni ujinga ujinga tu unaendelea sasa hivi kwenye huu mradi wa Wa Mabilioni wa mwendo kasi..!

hizi phase zilizobaki fanyeni usimqmizi mzuri
Wekeni bus za kutosha, Ratiba za kueleweka kutokana na Deman ya eneo husika pamoja na muda
Watu wafanye shughuli zao za kuichumi kwa haraka na ufanisi

Hii itakuwa ni Bangladesh mkuu
ChatGPT amekujibu

1745414366365.png
 
Hapana, mabasi ya mwendokasi hayatumii kiyoyozi. Na kipindi cha mvua ndo balaa, maana vioo vyote vinafungwa ili watu wasilowe na ule mminyano ni kuhemeana tuu.

Haya uko tayari Bwangosha nikupe royo tua tuzunguke ruti zote za mwendokasi ujionee mwenyewe? Bili juu yangu 😜.
Asante. Nitafurahi sana. Kwa sasa Dar nahitaji wenyeji kwa kweli.

Kuna siku nilikuwa likizo nikataka kushuka sehemu usiku nikaambiwa hapa usishuke si salama. Wakati mimi nishazoea pale ni kawaida tu enzi zangu.

Nilitaka kujua kama kuna viyoyozi vinatumika kwenye hayo mabasi kwa sababu kuna picha inaonesha watu wamebanana sana. Ile hali hatari sana kiafya kama watu wanavuta hewa ile ile.

Kubanana kwenye public transport miji mikubwa kupo sehemu nyingi, New York City, Tokyo, London etc, lakini angalau wenzetu wanakuwa na viyoyozi kuondoa hewa watu wasivute ile ile.

This is a public health issue.
 
Aya yako ya tatu na ya nne ni mojawapo ya sababu ya muandishi wa huu uzi.

Lakini kama ulikuwepo enzi zile za usafiri wa uma Dar es Salaam aka UDA, kulikuwa na mabasi yaliungwa mawili katikati na mfano wa mpira yalijulikana kama Ikalusi, sina hakika kama ndo jina sahihi. Binafsi nilipenda sana kuyapanda na wakati ule ilikuwa senti kadhaa ndo nauli ya UDA. Aiseeeh tulikiwa tunaminyana na kubanana balaa sio kwenye UDA za kawaida ama Ikalusi. Na usipotoa sauti kituo cha kushuka na abiria wengine wakusaidie kupaza sauti unapitishwa kituo.

Kulikuwa kuna ruti inaenda Mikocheni enzi hizo mikocheni ni mapori nyumba za kuhesabu mojawapo ni Kairuki Hospital.

Ukitaka kifurahia usafiri wa UDA upande weekend hakuna watu ila siku za kazi, jiandae kuminyana.

Enzi zile wenye magari walikuwa wanahesabika mtaani, na magari yenyewe yalikuwa land-rover, oneten, 504 na 505 Peugeot, Volkswagen, Dahtsun, Double cabin pickup na baadhi ya saloon cars kama Toyota corolla, sumry and the like.

It was a life with its own experience.

Kuna siku nikawa nawaza, kama watu wakikua ili waongezeke wanazaana. Haya maUDA, yalitakiwa yazalishe yaongezeke kiasi cha kuwa na kila mkoa na usafiri wake mfano Usafiri Morogoro, usafiri Tanga, usafiri Arusha and the like halafu kuwe na mabasi ya kusafiri mikoani hayohayo ma UDA kabla watu binafsi hawajaanza kununua mabasi na kuwa biashara zao.
Kwenye akili zangu nikawa naona inawezekana kabisa na moja ya maendeleo ya jamii ni usafirishaji ulio wa uhakika wakati wate majira na nyakati zote. Hii ingeenda sambamba na kuhakikisha njia zote zinapitika vipindi vyote.

Nje ya mada, wacha nitoke hapo huwa sipendi kuingia kwenye habari za siasa, kama vimeshindikana basi, let it be... it is what it is...
 
Mkiambiwa no reform no election mnasema kila mtu apambane na hali yake.
 
Hio
Asante. Nitafurahi sana. Kwa sasa Dar nahitaji wenyeji kwa kweli.

Kuna siku nilikuwa likizo nikataka kushuka sehemu usiku nikaambiwa hapa usishuke si salama. Wakati mimi nishazoea pale ni kawaida tu enzi zangu.

Nilitaka kujua kama kuna viyoyozi vinatumika kwenye hayo mabasi kwa sababu kuna picha inaonesha watu wamebanana sana. Ile hali hatari sana kiafya kama watu wanavuta hewa ile ile.

Kubanana kwenye public transport miji mikubwa kupo sehemu nyingi, New York City, Tokyo, London etc, lakini angalau wenzetu wanakuwa na viyoyozi kuondoa hewa watu wasivute ile ile.

This is a public health issue.
ndio shida kubwa
Hewa hamna kwenye zile Bus
Watu wana kosa hewa na wanapigwa na Jua , Joto sana ni hatari kuna magonjwa hatari yanayoweza kuambikizwa kwa njia ya jasho
Kama homa ya ini n.k

Kama hawa wanaopanda muhimbili wawe makini
Hakuna unafuu wala raha yyte ya kupanda usafiir ule wa mwendo kasi
Kuweni makini
 
Haieleweki:

Dhumuni la Mwendo kasi ni nini hasa..?

Kupunguza Foleni barabarani?
Kupunguza shida ya usafiri?

Sababu mwendo kasi hazipunguzi foleni hapa mjini.!
Hakuna mtu ataacha Gari yake binafsi home au parking adandie mwendo kasi
Hasa ile mida ya tabu ya usafiri

Haipungizi shida ya usafiri sababu

Serikali inaua route za daladala : mpanho wa hovyo kabisa

Waacha wanaopanda dala dala wapande
Wanaopanda bajaj wapande
Wanaopanda pikipiki wapande

Njia pekee ya kupunguza foleni

Bus za mwendo kasi ziwe za kutosha
Msafiri asikae ziadi ya DKakika 15 kusubiri Bus stand

Usafiri huu ukiwa wa uhakika bila karaha na kwro basi mtu anaweza acha gari yake parking somewhere na kwenda mjini na mwendo kasi
Nchi ikiwa na wasafiri wengi wanangoja mabasi maana yake uchumi wake hauna efficiency. Hizo ni hela ambazo watu wameshindwa kuzichukua kwa wakati.

Na hela ukichelewa kuichukua kiuchumi ni lost productivity.

Time lost is money lost.

Halafu tunatafuta mchawi kwa nini sisi bado masikini nchi yetu ina mali nyingi.
 
Kuna siku pale Mbezi kutokana na nyomi iliokuwepo basi lilipofika katika kugombania sikukanyaga ngazi nikastukia niko ndani...
Mie ndugu yangu ni mfupi halafu kavaa miwani alikuja kushituka hana , halafu wengi walikuwa wanawake😂😂😂😂
 
Yaani hao viongozi wanaopewa kusimamia huo mradi anakuwa na kamkoba kadogo kama YUDA ISKARIOTE, kwahiyo pesa ikiwekwa mule naye anajipunguzia kwake hivyo kuvuka ni ngumu labda utokee muujiza kama ule wa bahari ya Shamu.
 
Back
Top Bottom