Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Vipi yule Mkulima wa Karoti shahidi no3 ataleta call logs za WhatsApp kutoka kwa Mark Zuckerberg ?Kama unadhani kwenye mitandao ya simu kuna usiri mkubwa basi utakuwa unajidanganya sana bwashee.
Popote duniani kipaumbele ni usalama wa jamii kupitia njia za mawasiliano.
Muhimu ni watu kutenda matendo mema, basi.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Hakuna cha faragha mkuu. Usalama wa nchi kwanza, ndiyo maana vikatengenezwa Vifaa vya Interceptor. Najua hujui ila kuna siku utajua ukibarehe akili zako.Usiri upo sema kwenye nchi kama zetu ambazo hazizingatia sheria hakuna anaeweza kuzingatia hilo la haki ya faragha
tusiwe wajinga kiasi hicho faragha ya mtu ni kitu muhimu sanaKama unadhani kwenye mitandao ya simu kuna usiri mkubwa basi utakuwa unajidanganya sana bwashee.
Popote duniani kipaumbele ni usalama wa jamii kupitia njia za mawasiliano.
Muhimu ni watu kutenda matendo mema, basi.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Ipo...refer kesi ya jamii forum..hiyo .mitandao Haina simu cause wamefunga ndoa na serikali kuanzia mwanzoHakuna faragha mbele ya serikali!
Hakuna usiri popote duniani,taarifa zako zipo salama tu,inategemea nani anazitaka,kama nazitaka mie chinga hapo itakuwa vigumu kuzipatia,lakini kama taasisi za kiusalama za serikali wanazitaka,zitapatikana tu,overtly or covertly(mbinu za wasiojurikana).Kama unadhani kwenye mitandao ya simu kuna usiri mkubwa basi utakuwa unajidanganya sana bwashee.
Popote duniani kipaumbele ni usalama wa jamii kupitia njia za mawasiliano.
Muhimu ni watu kutenda matendo mema, basi.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Faragha ipi yakupanga ugaidi au?tusiwe wajinga kiasi hicho faragha ya mtu ni kitu muhimu sana
matendo mema yanapimwa kwa tafsiri ipi ?Muhimu ni watu kutenda matendo mema, basi.
Kama unadhani kwenye mitandao ya simu kuna usiri mkubwa basi utakuwa unajidanganya sana bwashee.
Popote duniani kipaumbele ni usalama wa jamii kupitia njia za mawasiliano.
Muhimu ni watu kutenda matendo mema, basi.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
acha zivuje ili tuwajue wanafiki na wahuni...
inashangaza hawa wanaopinga tigo kuweka wazi data za uhalifu, mlitaka wafiche il iweje?? hata kama ni mimi nmemkosea mtu, akichukua data zangu mitandaoni na kunishitaki sio kosa, maana ni sehemu ya ushahidi, na makampuni yote ya mitandao yako chin ya serkali, kwa hiyo ninyi pinga pinga Fc muache kuwaficha wahalifu,
alafu mujuwe kuwa hata mkisusia tigo kwa kuvunja laini mujue kuwa hakuna mnaemkomoa zaid zaid mnajionesha mlivyo na akili chafu, yaan wew uharbu lain ya tigo ukitegemea kuwakomoa ambao wanawateja zaid ya mamilion? na kila siku wateja wapya wanaongezeka, acheni utoto.
Huyu mleta Uzi ana mawazo ya kijima sana.Usiri upo sema kwenye nchi kama zetu ambazo hazizingatia sheria hakuna anaeweza kuzingatia hilo la haki ya faragha
Uko sahihi hata posta tu ukituma barua au kifurushi lazima kipitie process usije kuwa unasafirisha bomu .Na sio tigo tuu....
Hakuna kampuni isiyozingatia usalama wa taifa kwanza
Usiri upo sema kwenye nchi kama zetu ambazo hazizingatia sheria hakuna anaeweza kuzingatia hilo la haki ya faragha
Usalama wa JF ni kwasababu Savers zao zipo USA,Ipo...refer kesi ya jamii forum..hiyo .mitandao Haina simu cause wamefunga ndoa na serikali kuanzia mwanzo
Crap.Kama unadhani kwenye mitandao ya simu kuna usiri mkubwa basi utakuwa unajidanganya sana bwashee.
Popote duniani kipaumbele ni usalama wa jamii kupitia njia za mawasiliano.
Muhimu ni watu kutenda matendo mema, basi.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Saver ya whatsap, skype, telegram, hazipo Tanzania. Ndiyo maana wanashindwa kuyadaka mawasiliano ya mtu anayetumia hiyo mitandao.How?
Mleta mada ni mbumbumbu. Haelewi hata kile ambacho watu wanahoji.Nadhani shida kubwa ni kutofuata masharti ya mkataba kati ya hayo makampuni na wateja wao na pia maadili ya kazi. Nchi zinazofuata utawala wa sheria usiri kati mteja na kampuni fulani unaweza tu kuvunjwa endapo mteja anajihusisha na vitendo vya kihalifu na ili iwe hivyo ni lazima kuwepo na 'court order' kwa service provider kutoa ushirikiano wa mawasiliano ya huyo mteja na hakuna njia nyingine yeyote ya kupata habari za uhusikaji wake kwenye huo uhalifu na hiyo court order hutolewa baada ya 'full public hearing'. Kwa mantiki hiyo, mere police order is not enough.
Kama unadhani kwenye mitandao ya simu kuna usiri mkubwa basi utakuwa unajidanganya sana bwashee.
Popote duniani kipaumbele ni usalama wa jamii kupitia njia za mawasiliano.
Muhimu ni watu kutenda matendo mema, basi.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Endelea kukariri!Huyu mleta Uzi ana mawazo ya kijima sana.