johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #41
Jambo gani?Crap.
Out of content. Inashangaza mtu analeta mada ambayo haihusiani na jambo ambalo watu wanahoji.
Watu wanahoji nini?Mleta mada ni mbumbumbu. Haelewi hata kile ambacho watu wanahoji.
Udukuzi ni tofauti na kampuni ya simu ku provide information bila search warrant.Una
Unjidanganya, hayo mawasiliano ya magaidi huko ulaya nani huwa anavujisha sauti zao kama sio mitandao?
Bado marekani walidukua mawasiliano ya ujerumani sasa ulisikia nini kilitokea?
Hakuna faraga za mtu kwenye mtandao kama unafanya makosa.
Nimesoma mabandiko ya watu ambao wanasapoti ujinga wa mleta uzi. Nimegunduwa wana uwezo mdogo sana wa kufikiri. Hili ni tatizo kubwa sana. Yani ni viazi wahed.Crap.
Out of content. Inashangaza mtu analeta mada ambayo haihusiani na jambo ambalo watu wanahoji.
Sijui kwanini hii hoja inakwepwa sanaa.?.kwanini police hawataki kufuata sheria zilizopo ili kupata hizo taarifa za watumiaji wa simu wazitakazo?Je, ndio sheria na kanuni zinavyosema?
Kwanini kama kanuni na sheria sio mhimu zinatungwa tena na kupitishwa na walio wengi huko bungeni?.Usalama ni zaidi ya sheria na kanuni bwashee!
Hakuna namna manka.Nimesoma mabandiko ya watu ambao wanasapoti ujinga wa mleta uzi. Nimegunduwa wana uwezo mdogo sana wa kufikiri. Hili ni tatizo kubwa sana. Yani ni viazi wahed.
SahihiKama unadhani kwenye mitandao ya simu kuna usiri mkubwa basi utakuwa unajidanganya sana bwashee.
Popote duniani kipaumbele ni usalama wa jamii kupitia njia za mawasiliano.
Muhimu ni watu kutenda matendo mema, basi.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Ulishaona/ sikia mambo ya usalama wa taifa yanajadiliwa bungeni?Kwanini kama kanuni na sheria sio mhimu zinatungwa tena na kupitishwa na walio wengi huko bungeni?.
Sheria ya kutaka police kua na kubali cha mahakama/mwanasheria mkuu wa serikali zilitungwa wapi?Ulishaona/ sikia mambo ya usalama wa taifa yanajadiliwa bungeni?
Wewe kahaba mzee unajuwa nini zaidi ya ukahaba? Wewe ni ndezi tu na akili kisoda.Hakuna namna manka.
Tigo wameshatimiza wajibu wao kwa ulinzi wa taifa!
Hujui kilichomkimbiza Snowden USA? Akaelekea zake Russia! Kweli wewe umepitwa sana na hii dunia, unazingatia ya hap hapa chakushangaza unataka kutoa reference za usikofuatilia yanayoendelea huko.Usiri upo sema kwenye nchi kama zetu ambazo hazizingatia sheria hakuna anaeweza kuzingatia hilo la haki ya faragha
Dawa ni kupiga simu kutumia watsap. Na ndiyi maana wanaongeza bei za vifurushi ili watu wasitumie watsap.
Hahahaaaa...... Kama yule mama yenu muuza mbege kawatoa kamasi mtaiweza taasisi kubwa ya Tigo manka..... Hahahaaaa.Wewe kahaba mzee unajuwa nini zaidi ya ukahaba? Wewe ni ndezi tu na akili kisoda.
Sina haja na Tigo yako chafu.
Una uhakika? Panga kulipua ubalozi wa Marekani ndio utajua Kama server ziko Marekani au TanzaniaSaver ya whatsap, skype, telegram, hazipo Tanzania. Ndiyo maana wanashindwa kuyadaka mawasiliano ya mtu anayetumia hiyo mitandao.
Siku ya hukumu ndio utajua zilikotungwa!Sheria ya kutaka police kua na kubali cha mahakama/mwanasheria mkuu wa serikali zilitungwa wapi?
Upo sahihi snUsiri upo sema kwenye nchi kama zetu ambazo hazizingatia sheria hakuna anaeweza kuzingatia hilo la haki ya faragha
Ujinga tuuu.sheria mtunge wenyewee na kuzifuata hamtakii.huku mkitaka wenzenu kufuata sheria.Siku ya hukumu ndio utajua zilikotungwa!
Wenye akili waliyaelewa vizuri matupo ya kesi ndogo!
Vipi habari za vigogo kuficha mapesa Ulaya iliyovujishwa juzi Ulaya,unasemaje hapo? Au ni Afrika?Usiri upo sema kwenye nchi kama zetu ambazo hazizingatia sheria hakuna anaeweza kuzingatia hilo la haki ya faragha