Hakuna usiri wowote kwenye mitandao ya simu ndio maana hata sauti za akina Nnauye na Makamba zilivujishwa. Tusikuze mambo!

Hakuna usiri wowote kwenye mitandao ya simu ndio maana hata sauti za akina Nnauye na Makamba zilivujishwa. Tusikuze mambo!

Crap.

Out of content. Inashangaza mtu analeta mada ambayo haihusiani na jambo ambalo watu wanahoji.
Jambo gani?

Makomandoo wakihusishwa na mwanasiasa mkuu wa upinzani kutuhumiwa ugaidi ni jambo dogo?

Mdharau mwiba mguu huota tende!
 
Mleta mada ni mbumbumbu. Haelewi hata kile ambacho watu wanahoji.
Watu wanahoji nini?

Ujambazi wa Sabaya kuanikwa na Vodacom au......?

Usilete siasa za migombani mbele ya usalama wa nchi na watu wake!
 
Una

Unjidanganya, hayo mawasiliano ya magaidi huko ulaya nani huwa anavujisha sauti zao kama sio mitandao?

Bado marekani walidukua mawasiliano ya ujerumani sasa ulisikia nini kilitokea?

Hakuna faraga za mtu kwenye mtandao kama unafanya makosa.
Udukuzi ni tofauti na kampuni ya simu ku provide information bila search warrant.
 
Crap.

Out of content. Inashangaza mtu analeta mada ambayo haihusiani na jambo ambalo watu wanahoji.
Nimesoma mabandiko ya watu ambao wanasapoti ujinga wa mleta uzi. Nimegunduwa wana uwezo mdogo sana wa kufikiri. Hili ni tatizo kubwa sana. Yani ni viazi wahed.
 
Nimesoma mabandiko ya watu ambao wanasapoti ujinga wa mleta uzi. Nimegunduwa wana uwezo mdogo sana wa kufikiri. Hili ni tatizo kubwa sana. Yani ni viazi wahed.
Hakuna namna manka.

Tigo wameshatimiza wajibu wao kwa ulinzi wa taifa!
 
Kama unadhani kwenye mitandao ya simu kuna usiri mkubwa basi utakuwa unajidanganya sana bwashee.

Popote duniani kipaumbele ni usalama wa jamii kupitia njia za mawasiliano.

Muhimu ni watu kutenda matendo mema, basi.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Sahihi
 
Wewe kahaba mzee unajuwa nini zaidi ya ukahaba? Wewe ni ndezi tu na akili kisoda.

Sina haja na Tigo yako chafu.
Hahahaaaa...... Kama yule mama yenu muuza mbege kawatoa kamasi mtaiweza taasisi kubwa ya Tigo manka..... Hahahaaaa.

Tukana kimachame ndio utaeleweka manka mushi!
 
Saver ya whatsap, skype, telegram, hazipo Tanzania. Ndiyo maana wanashindwa kuyadaka mawasiliano ya mtu anayetumia hiyo mitandao.
Una uhakika? Panga kulipua ubalozi wa Marekani ndio utajua Kama server ziko Marekani au Tanzania
 
Sheria ya kutaka police kua na kubali cha mahakama/mwanasheria mkuu wa serikali zilitungwa wapi?
Siku ya hukumu ndio utajua zilikotungwa!

Wenye akili waliyaelewa vizuri matupo ya kesi ndogo!
 
Kama hakuna kosa, tunaogopa nini mazungumzo kuwekwa bayana kama ushahidi????

ANACHOMOA AU HACHOMOI?
 
Usiri upo sema kwenye nchi kama zetu ambazo hazizingatia sheria hakuna anaeweza kuzingatia hilo la haki ya faragha
Vipi habari za vigogo kuficha mapesa Ulaya iliyovujishwa juzi Ulaya,unasemaje hapo? Au ni Afrika?
 
Back
Top Bottom