Hakuna usiri wowote kwenye mitandao ya simu ndio maana hata sauti za akina Nnauye na Makamba zilivujishwa. Tusikuze mambo!

Inabidi uishi kama Osama ,no any gadget ,Ukitumia hivyo vitu basi uko Naked.
 
Kwa hiyo kama kuna sauti za akina Nape ndio tukubaliane?
 
Sema utakavyosema lakini usalama kwanza!

Hata TRA wakitaka taarifa zako za Tigo pesa/ M pesa wanapewa bila kibali cha polisi wala mahakama!
 
Kama unaongelea huu uozo wa hapa, utakuwa upo sahihi, lakini unapojipachika ujuaji wa 'duniani kote' hapo unajitia upofu kwa kutojua yanayofanyika huko kwingine.

Zungumzia ya hapa, hayo ya huko kwingine waachie wanaoyajua.
 
Tumia Deep Web

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Huyo ni kiazi hawezi elewa kitu. Halafu huwa sifanyi naye mjadala maana hana hiyo ya kupewa heshima ya mjadala.
 
Huyu ana iq ndogo mno. Hataweza kukuelewa. Thread zake nyingi ni za kijingajinga tu. Ni mwanamke wa hovyo sana.
 
Kama unaongelea huu uozo wa hapa, utakuwa upo sahihi, lakini unapojipachika ujuaji wa 'duniani kote' hapo unajitia upofu kwa kutojua yanayofanyika huko kwingine.

Zungumzia ya hapa, hayo ya huko kwingine waachie wanaoyajua.
Dunia ni kijiji bwashee ndio maana Putin anaingia popote.

Acha kukariri.......!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…