Hakuna usiri wowote kwenye mitandao ya simu ndio maana hata sauti za akina Nnauye na Makamba zilivujishwa. Tusikuze mambo!

Hakuna usiri wowote kwenye mitandao ya simu ndio maana hata sauti za akina Nnauye na Makamba zilivujishwa. Tusikuze mambo!

Kama unadhani kwenye mitandao ya simu kuna usiri mkubwa basi utakuwa unajidanganya sana bwashee.

Popote duniani kipaumbele ni usalama wa jamii kupitia njia za mawasiliano.

Muhimu ni watu kutenda matendo mema, basi.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Kwa hiyo kama kuna sauti za akina Nape ndio tukubaliane?
 
Ni viazi +++++++++++++.
Nimesikitika sana kugundua kuwa kuna idadi kubwa sana ya viazi + vilaza ++ waliopo JF ambao ni pro serikali na pro CCM.
Hii ni hatari kwa usalama wa taifa letu kuwa na idadi kubwa namna hii ya vilaza+++ tunaoamini wameona milango mingi ya vyumba vya kujifunzia.
Inasikitisha sana.
Sema utakavyosema lakini usalama kwanza!

Hata TRA wakitaka taarifa zako za Tigo pesa/ M pesa wanapewa bila kibali cha polisi wala mahakama!
 
Magufuli alipata wepesi kwa sababu Tanzania hakuna Upinzani bali kuna kuna waganga njaa wanaoitegemea CCM hiyo hiyo kulisha familia zao.

Mfano wa njaa za Wapinzani ni wale wabunge wa 19 wa Chadema wakiongozwa na kamanda mbobezi Halima James Mdee.

Narudia tena hakuna usiri wowote kwenye mawasiliano na ndio maana Kigogo sasa yuko CCM siyo Chadema tena.
Kama unaongelea huu uozo wa hapa, utakuwa upo sahihi, lakini unapojipachika ujuaji wa 'duniani kote' hapo unajitia upofu kwa kutojua yanayofanyika huko kwingine.

Zungumzia ya hapa, hayo ya huko kwingine waachie wanaoyajua.
 
Hakuna Cha telegram Wala Nini ukigusa maswala tishio kwa Usalama wa nchi unadakwa .Wakikwambia huku ndio safe ndiko rahisi kudakwa.Wabakupa false hope

Cha msingi tumia mitandao vizuri ukitumia vibaya unalo.Sababu iwe WhatsApp au telegram wenyewe huhojiwa kabla kuruhusiwa kuwa mna mitigation gani Kama mhalifu au gaidi akitaka kutumia mitandao yenu.Wanajieleza na how to track them Kisha wanasema kwenye public kuwa huu wetu ni very safe lakini only safe kwa mtu asiyehatarisha Usalama wa nchi.Ukihatarisha wao wanakuwa wa kwanza kuuza picha!!! Sababu kunakuwa na secret contact Kati ya nchi na wamiliki ku allow at a fee of course.

To be safe epuka uhalifu na ugaidi nobody will touch you anywhere in the world
Tumia Deep Web

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Naona mleta mada kakupa 'like', lakini sina hakika kama ameelewa ulichoeleza hapo, ambao ndio ukweli wenyewe.

Hawa wanadai "duniani kote" bila ya kujua wanachokiandika.

Kwa kukosa kwao uelewa, hawaelewi kwamba kinachosemwa hapa ni kuwa serikali ya huko Marekani haikusanyi taarifa zinazohusu maswala hatarishi kama haya, hasa baada ya mkasa ule wa 9/11 kwa kutumia njia zake yenyewe. Lakini isichoweza kufanya ni ujambazi kama huu unaotumiwa hapa kwetu, na akina 'johnthebabstisti' kujitokeza kuwa ndio wajuwaji haki za watu zinaishia wapi.
Huyo ni kiazi hawezi elewa kitu. Halafu huwa sifanyi naye mjadala maana hana hiyo ya kupewa heshima ya mjadala.
 
Mwaka 2015, Desemba 2 Syed Rizwan Farook akishirikiana na mke wake waliua watu 14 katika mji wa San Berbadino, California Marekani na baadae wenyewe kuuawa katika mapigano na polisi. FBI walipokagua nyumba yao walikuta simu aina ya Iphone 5C ambayo walishindwa kuifungua. Wakaiomba kampuni ya Apple iwasaidie kuifungua. Apple ikakataa. FBI wakawapeleka Mahakamani ambako Apple wakashindwa. Apple wakasema watakata rufaa, na sababu walioitoa ni kuwa wakiwakubalia FBI wateja wao watakosa imani nao. Kesi haikuendelea kwa sababu FBI walisema wamefanikiwa kuifungua.

Tunachojifunza hapa ni kuwa nchini Marekani Kampuni ya biashara binafsi hailazimiki kushirikiana na serikali katika masuala ya mawasiliano na serikali inabidi kupata ridhaa ya Mahakama ili ipate ushirikiano. Na hata Mahakama ikikubali Kampuni inaweza kukata rufaa. Kwa Marekani, faragha ya raia ni sacrosant hata pale usalama wa jamii unapohatarishwa.

Kwa hicho kipaumbele chako sio cha dunia nzima kama unavyotaka kutuaminisha.

Amandla...
Huyu ana iq ndogo mno. Hataweza kukuelewa. Thread zake nyingi ni za kijingajinga tu. Ni mwanamke wa hovyo sana.
 
Kama unaongelea huu uozo wa hapa, utakuwa upo sahihi, lakini unapojipachika ujuaji wa 'duniani kote' hapo unajitia upofu kwa kutojua yanayofanyika huko kwingine.

Zungumzia ya hapa, hayo ya huko kwingine waachie wanaoyajua.
Dunia ni kijiji bwashee ndio maana Putin anaingia popote.

Acha kukariri.......!
 
Back
Top Bottom