Hakuna utajiri wa kishetani, Kama kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina, Kwanini watu maskini wasiutumie kuondokana na umaskini wao?

Hivi zile ng’ombe zinazotolewa na waarabu mwaka hadi mwaka zinachinjwa wanagawiwa watu anataka kusema wana roho nzuri wanatoa bure tu??? Huyi hajui mambo ya spiritual ni kumuacha

Labda Uelewa wake upo limited. Acha aishi kwenye anachokiamini.
 
Kama uchawi upo nenda kautumie kwa nguvu zako zote, Uwazidi matajiri wakubwa hapa nchini kama Mo Dewji, GSM, Bakhressa.

Huyo mganga kama anajua uganga wake una nguvu kweli, Kwa nini asiutumie kuwa tajiri awazidi kina Dangote?

Hivi ni mtu gani ambaye ana uwezo wa kukutajirisha wewe, ila hawezi kujitajirisha yeye mwenyewe?

Kwani kuna mtu hataki kuwa tajiri?

Au hao waganga na wachawi wanapenda wawe maskini, ila wewe uwe tajiri?

Inawezekana kweli kwa akili timamu za kibinadamu???
Hakuna mtu anayependa kuwa maskini...
Kwani unaposkia figo inanunuliwa milion 40 ,, kuna masikini asietaka hyo milion 40 mkuu..?

Jiulize kwanini asiende kutoa figo moja akabaki na moja .
Ukijua hilo basi jibu unalo
 
Nyie wakuu.. mnakataa uchawi hakuna seriously wakati unayosema hapa ni uchawi wenyewe...

Wee unapata pata connection mara China mara where..
Mbona wengine hawapati
Juzi nimenunua ki vtz wadau washaanza kuniita freemason masikini mna tabu sana

Kddq mngejua tunavyo haso na kujinyima mngeacha huu upuuzi wenu
 
Mkuu ukiloga uwezi kusema...
Una uchuna kimya kimya kddq zenu badae mnasema God did kumbe behind the scenes sasa
 
Hakuna mtu anayependa kuwa maskini...
Kwani unaposkia figo inanunuliwa milion 40 ,, kuna masikini asietaka hyo milion 40 mkuu..?
Hakuna maskini asiyetaka hiyo million 40.

Kwani kuna mganga asiyependa utajiri?

Je huyo mganga au mchawi, Yeye kama anajijua uganga wake au uchawi wake una nguvu kweli, Kwa nini asiutumie kutajirika?

Kwa nini huyo mganga asijipe yeye kwanza huo utajiri, kabla ya kukupa wewe?
Jiulize kwanini asiende kutoa figo moja akabaki na moja .
Ukijua hilo basi jibu unalo
Na wewe Jiulize 👇

Kwa nini huyo mganga asijipe yeye kwanza huo utajiri kabla ya kukupa wewe?

Kwani yeye hataki kuwa tajiri?

Si ajitajirishe yeye kwanza, kabla ya kukutajirisha wewe????????
 
Hizo ni imani zenu makapuku hakuna pesa za ndumba pesa hailogeki kazeni mtatoboa
Kuna uzi flani hivo leo asubhi nilikuona unachangia..

Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya
Alafu sasa hvi unasema uchawi hakuna na kuita wenzako makapuku
 
Mkuu ukiloga uwezi kusema...
Una uchuna kimya kimya kddq zenu badae mnasema God did kumbe behind the scenes sasa
Wote tunaanza race kipenga kinalia nikikushinda wasingizia nimeloga

Wakuu hebu badilikeni bana hatulogi ni mazoezi tu yalikuwa ya kutosha ndio maana tumekimbia bila kuchoka
 
Hakuna maskini asiyetaka hiyo million 40.

Kwani kuna mganga asiyependa utajiri?

Je huyo mganga au mchawi, Yeye kama anajijua uganga wake au uchawi wake una nguvu kweli, Kwa nini asiutumie kutajirika?

Kwa nini huyo mganga asijipe yeye kwanza huo utajiri, kabla ya kukupa wewe?

Na wewe Jiulize 👇

Kwa nini huyo mganga asijipe yeye kwanza huo utajiri kabla ya kukupa wewe?

Kwani yeye hataki kuwa tajiri?

Si ajitajirishe yeye kwanza, kabla ya kukutajirisha wewe????????
Anataka huo utajiri lakini kuna limitations mkuu ni sawa na wewe unataka mil40 lakini tuu ukifikilia habar za wewe kubaki na figo moja unasema Nooo

The same kwa mganga kuna vitu vinamzuia yeye kuwa vile na ndo mana kule unakutana na mambo ya ajabu
 
Wote tunaanza race kipenga kinalia nikikushinda wasingizia nimeloga

Wakuu hebu badilikeni bana hatulogi ni mazoezi tu yalikuwa ya kutosha ndio maana tumekimbia bila kuchoka
Hiyo tunaijua yaani wewe umeenza kushona viatu alafu unamiliki viwanda..
Kwahyo sisi hatuna ndgu wanashona viatu toka 92 hukooo
 
Kuna uzi flani hivo leo asubhi nilikuona unachangia..

Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya
Alafu sasa hvi unasema uchawi hakuna na kuita wenzako makapuku
Mkuu ushaanza uchawi umeshindwa kuloga pesa zije kwako unataka kuniloga mimi kwenye huu uzi
 
Hapna mkuu maana isije ikawa kwenye huu uzi unajitutumua kumbe kule kwenye nyuzi za ushuhuda unatoa maneno kibao sasa hapa taa screenshot alafu tatuma ili huyu Infropreneur ajue kuwa watu mna umani zenyi za jabu ajabu
 
Hiyo tunaijua yaani wewe umeenza kushona viatu alafu unamiliki viwanda..
Kwahyo sisi hatuna ndgu wanashona viatu toka 92 hukooo
Kila fursa inatoa watu kimaisha ila sio kila mtu anaweza toka kimaisha kupitia fursa hiyo simple
 
Mtoa post sidhani kama ana akili timamu kwanza naomba kujua je yeye ni masikini au ni tajiri atupe majibu, binafsi huwezi kusemea jinsi ya upatikanaji wa utajiri kama haujawahi kupata huo utajiri ndomaana unaambiwa utajiri una Siri nying tu hakuna tajiri ataekupa mbinu za kufanikiwa kirahisi uchawi wa ndagu na majini ya pesa vipo sana ukitaka hata uthibitisho upo, uliza watu waliokulia njombe makete, shinyanga, na maeneo kadhaa ya mikoani au nchi jirani kama kongo Malawi na Zambia hayo mambo yapo sana tu
 
Hizo ni imani zenu makapuku hakuna pesa za ndumba pesa hailogeki kazeni mtatoboa
Uchawi na ushirikina ungekuwa unafanya kazi kweli na ungekuwa una nguvu kweli fedha zingekuwa zina ibiwa benki kimiujiza na kishirikina.

Chuma ulete zingeweza kuiba kwenye mabenki makubwa kama BOT, NMB, CRDB, NBC n.k

Lakini wapii!!!!! Utasikia tu chuma ulete ni vichenji vichenji vya dukani ndio imeweza kuiba.

Ila benki, No wahala...😄
 
Hapna mkuu maana isije ikawa kwenye huu uzi unajitutumua kumbe kule kwenye nyuzi za ushuhuda unatoa maneno kibao sasa hapa taa screenshot alafu tatuma ili huyu Infropreneur ajue kuwa watu mna umani zenyi za jabu ajabu
Hakuna pesa za ndumba mkuu baki hapo utatoboa bila hivyo utatoboka wewe
 
Kila fursa inatoa watu kimaisha ila sio kila mtu anaweza toka kimaisha kupitia fursa hiyo simple
Simple..!!!
Mi nauliza huyu ndgu yangu toka 92 mpaka leo hata connection ya china ajapata unamtazama vipi...
 
Uchawi na ushirikina ungekuwa unafanya kazi kweli na ungekuwa una nguvu kweli fedha zingekuwa zina ibiwa benki kimiujiza na kishirikina.

Chuma ulete zingeweza kuiba kwenye mabenki makubwa kama BOT, NMB, CRDB, NBC n.k

Lakini wapii!!!!! Utasikia tu chuma ulete ni vichenji vichenji vya dukani ndio imeweza kuiba.

Ila benki, No wahala...😄
Watakuambia bank nao ni wachawi hao watu vyuzi zimekatika mwamposa kawakata vyuzi zinazounganisha uti wa mgongo na ubongo
 
Back
Top Bottom