Hivi zile ng’ombe zinazotolewa na waarabu mwaka hadi mwaka zinachinjwa wanagawiwa watu anataka kusema wana roho nzuri wanatoa bure tu??? Huyi hajui mambo ya spiritual ni kumuacha
Hakuna mtu anayependa kuwa maskini...Kama uchawi upo nenda kautumie kwa nguvu zako zote, Uwazidi matajiri wakubwa hapa nchini kama Mo Dewji, GSM, Bakhressa.
Huyo mganga kama anajua uganga wake una nguvu kweli, Kwa nini asiutumie kuwa tajiri awazidi kina Dangote?
Hivi ni mtu gani ambaye ana uwezo wa kukutajirisha wewe, ila hawezi kujitajirisha yeye mwenyewe?
Kwani kuna mtu hataki kuwa tajiri?
Au hao waganga na wachawi wanapenda wawe maskini, ila wewe uwe tajiri?
Inawezekana kweli kwa akili timamu za kibinadamu???
1/10Kwani kupata connection kwenda china ni hadi uwe mchawi?
Juzi nimenunua ki vtz wadau washaanza kuniita freemason masikini mna tabu sanaNyie wakuu.. mnakataa uchawi hakuna seriously wakati unayosema hapa ni uchawi wenyewe...
Wee unapata pata connection mara China mara where..
Mbona wengine hawapati
Mkuu ukiloga uwezi kusema...Juzi nimenunua ki vtz wadau washaanza kuniita freemason masikini mna tabu sana
Kddq mngejua tunavyo haso na kujinyima mngeacha huu upuuzi wenu
Hizo ni imani zenu makapuku hakuna pesa za ndumba pesa hailogeki kazeni mtatoboaMkuu ukiloga uwezi kusema...
Una uchuna kimya kimya kddq zenu badae mnasema God did kumbe behind the scenes sasa
Hakuna maskini asiyetaka hiyo million 40.Hakuna mtu anayependa kuwa maskini...
Kwani unaposkia figo inanunuliwa milion 40 ,, kuna masikini asietaka hyo milion 40 mkuu..?
Na wewe Jiulize 👇Jiulize kwanini asiende kutoa figo moja akabaki na moja .
Ukijua hilo basi jibu unalo
Kuna uzi flani hivo leo asubhi nilikuona unachangia..Hizo ni imani zenu makapuku hakuna pesa za ndumba pesa hailogeki kazeni mtatoboa
Wote tunaanza race kipenga kinalia nikikushinda wasingizia nimelogaMkuu ukiloga uwezi kusema...
Una uchuna kimya kimya kddq zenu badae mnasema God did kumbe behind the scenes sasa
Anataka huo utajiri lakini kuna limitations mkuu ni sawa na wewe unataka mil40 lakini tuu ukifikilia habar za wewe kubaki na figo moja unasema NoooHakuna maskini asiyetaka hiyo million 40.
Kwani kuna mganga asiyependa utajiri?
Je huyo mganga au mchawi, Yeye kama anajijua uganga wake au uchawi wake una nguvu kweli, Kwa nini asiutumie kutajirika?
Kwa nini huyo mganga asijipe yeye kwanza huo utajiri, kabla ya kukupa wewe?
Na wewe Jiulize 👇
Kwa nini huyo mganga asijipe yeye kwanza huo utajiri kabla ya kukupa wewe?
Kwani yeye hataki kuwa tajiri?
Si ajitajirishe yeye kwanza, kabla ya kukutajirisha wewe????????
Hiyo tunaijua yaani wewe umeenza kushona viatu alafu unamiliki viwanda..Wote tunaanza race kipenga kinalia nikikushinda wasingizia nimeloga
Wakuu hebu badilikeni bana hatulogi ni mazoezi tu yalikuwa ya kutosha ndio maana tumekimbia bila kuchoka
Mkuu ushaanza uchawi umeshindwa kuloga pesa zije kwako unataka kuniloga mimi kwenye huu uziKuna uzi flani hivo leo asubhi nilikuona unachangia..
Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya
Alafu sasa hvi unasema uchawi hakuna na kuita wenzako makapuku
Hapna mkuu maana isije ikawa kwenye huu uzi unajitutumua kumbe kule kwenye nyuzi za ushuhuda unatoa maneno kibao sasa hapa taa screenshot alafu tatuma ili huyu Infropreneur ajue kuwa watu mna umani zenyi za jabu ajabuMkuu ushaanza uchawi umeshindwa kuloga pesa zije kwako unataka kuniloga mimi kwenye huu uzi
Kila fursa inatoa watu kimaisha ila sio kila mtu anaweza toka kimaisha kupitia fursa hiyo simpleHiyo tunaijua yaani wewe umeenza kushona viatu alafu unamiliki viwanda..
Kwahyo sisi hatuna ndgu wanashona viatu toka 92 hukooo
Uchawi na ushirikina ungekuwa unafanya kazi kweli na ungekuwa una nguvu kweli fedha zingekuwa zina ibiwa benki kimiujiza na kishirikina.Hizo ni imani zenu makapuku hakuna pesa za ndumba pesa hailogeki kazeni mtatoboa
Hakuna pesa za ndumba mkuu baki hapo utatoboa bila hivyo utatoboka weweHapna mkuu maana isije ikawa kwenye huu uzi unajitutumua kumbe kule kwenye nyuzi za ushuhuda unatoa maneno kibao sasa hapa taa screenshot alafu tatuma ili huyu Infropreneur ajue kuwa watu mna umani zenyi za jabu ajabu
Simple..!!!Kila fursa inatoa watu kimaisha ila sio kila mtu anaweza toka kimaisha kupitia fursa hiyo simple
Watakuambia bank nao ni wachawi hao watu vyuzi zimekatika mwamposa kawakata vyuzi zinazounganisha uti wa mgongo na ubongoUchawi na ushirikina ungekuwa unafanya kazi kweli na ungekuwa una nguvu kweli fedha zingekuwa zina ibiwa benki kimiujiza na kishirikina.
Chuma ulete zingeweza kuiba kwenye mabenki makubwa kama BOT, NMB, CRDB, NBC n.k
Lakini wapii!!!!! Utasikia tu chuma ulete ni vichenji vichenji vya dukani ndio imeweza kuiba.
Ila benki, No wahala...😄
Nikwambie tuu we kataa ila watu wanaloga bonHakuna pesa za ndumba mkuu baki hapo utatoboa bila hivyo utatoboka wewe