pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
We bado mtoto mdogo.Mi nataka mtu anipe utajiri kwanza afu masharti badae, sio propaganda za kuambiwa umekosea masharti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We bado mtoto mdogo.Mi nataka mtu anipe utajiri kwanza afu masharti badae, sio propaganda za kuambiwa umekosea masharti
utakuwa kapumbavu kasikotaka kujua.Don't come here to vomit your nonsense.
You are not mentally enough to argue me.
Huyo nimedhibitisha ni mgonjwa ana shida ya akili.Hate speech siku hizi inakumbatiwa JamiiForums
This thread is a form of hate speech ambayo imeletwa na sii mwingine bali na Infropreneur ambae kwa wazi huwa anatukana na kuwazodoa Waafrika, hususani kwa rangi za ngozi zao. Huyu member ana chuki na misimango dhidi ya Waafrika. Ni mbaguzi. He is Racist.
Laana ya Muumba ni nzito. Laana inamtafuna huyu Infro na Ukoo wake wote kwa chuki na masimango.
Huyu yawezekana ni mwajiriwa wa JamiiForums, inakuwaje hate speech zake zinaachiwa? Ni mbegu gani hii mnayotaka kupanda kwa Jamii ya Watanzania?
Don't come here to vomit your nonsense.Hate speech siku hizi inakumbatiwa JamiiForums
This thread is a form of hate speech ambayo imeletwa na sii mwingine bali na Infropreneur ambae kwa wazi huwa anatukana na kuwazodoa Waafrika, hususani kwa rangi za ngozi zao. Huyu member ana chuki na misimango dhidi ya Waafrika. Ni mbaguzi. He is Racist.
Laana ya Muumba ni nzito. Laana inamtafuna huyu Infro na Ukoo wake wote kwa chuki na masimango.
Huyu yawezekana ni mwajiriwa wa JamiiForums, inakuwaje hate speech zake zinaachiwa? Ni mbegu gani hii mnayotaka kupanda kwa Jamii ya Watanzania?
Thibitisha hicho unacho kijua.utakuwa kapumbavu kasikotaka kujua.
nimedhibitisha❌Huyo nimedhibitisha ni mgonjwa ana shida ya akili.
🖕Kwa baba na Mama yako waliozaa punguani na tahira kama wewe.Uyu Bado mtoto sidhani kama ata miaka 30 anayo ndo vile vitoto vimemalza chuo havina Kazi vinasota tu ila huo msoto unaoupitia utakufundisha vitu ving ambavyo hukufundishwa shule, ungekuwa tajiri usingeandiza hizo pumba zako, ukikua utajua kwanini babaako na ukoo wako wote wameshindwa kuwa matajiri, pambana wewe ndo uwe tajiri kwa hizo njia za halali uone kama ni rahisi😅😅😅🖕🖕🖕
Umeingia field kujaribu? Una ujasiri? Vinginevyo hizi ni stori za mtu wa kawaida sana. Lawama au habari hizi za nguvu za ajabu( au uchawi), zipo kila sehemu.Waafrika wengi hasa watanzania wamekuwa wakiamini kwa muda mrefu kwamba kuna utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina. Cha kushangaza hali zao za kiuchumi ziko vilevile miaka nenda rudi.
Kama kweli kwa hakika unajua na kuamini kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina. Kwa nini usiutumie kwa nguvu zako zote uwe tajiri mkubwa nchini Tanzania, Afrika na duniani?
Kwa nini ujihangaishe kufanya kazi na kuchoka ilhali unajua kuna utajiri wa kishetani?
Kamtumie huyo shetani akutajirishe kama ni rahisi hivyo!!
Katoe kafara za kutosha ikiwezekana hata ukoo wako wote tuone kama biashara yako itakuwa kubwa au utaweza hata kufikia utajiri wa Bakhressa.
Kama kweli kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina. Kwa nini usiutumie kwa nguvu zako zote, Uwazidi matajiri wakubwa Afrika kama Aliko Dangote, Bakhressa, Mo Dewji na matajiri wengine wakubwa duniani kama Elon musk, Jeff Bezos?
Kama kweli unajua na kuamini kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina. Kwa nini hujautumia huo uchawi, ushirikina, uganga angalau ufike hata level za utajiri wa Mo Dewji?
Kama unaamini kuna Shetani akitolewa kafara anatoa mali au atakupa mali za kukutajirisha, Katoe kafara wazazi wako au wanao wote tuone kama hata utafika level za utajiri wa Dangote.
Au kama unaamini kuna utajiri wa ndagu, uganga, ulozi n.k
Mwambie huyo mtoa ndagu au mganga, Akupe utajiri angalau umfikie au umzidi Bakhressa kama ana huo uwezo.
Au mwambie huyo mganga akuwezeshe umiliki private jet ✈️, Kiwanda kikubwa cha uzalishaji, Magari makali ya kifahari kama Rolls-Royce Boat tail, Mercedes Maybach, Buggati, Lamborghini, Cadillac escalade au akishindwa sana angalau akupe Range rover sport kwa uganga wake tu.
Waafrika wengi hasa watanzania wana amini kuna utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina lakini bado maisha yao ni ya kimaskini, kikapuku, kifukara pangu pakavu tia mchuzi.
Kama unaamini au unajua kuna Shetani anatoa utajiri, Kamtumie kwa nguvu zako zote akutajirishe na uwe tajiri kweli, Angalau ufike level za utajiri wa kina Dangote.
Kisha ndio uanze kusema kwamba kuna utajiri wa kishetani.
Habari za utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina, Husikika tu kwa waafrika maskini choka mbaya, wajinga, wavivu, makapuku, makabwela na mafukara ambao wanashinda vijiweni na vilabuni waki danganyana na kupeana matumaini uchwara ya utajiri wa kufikirika.
Hakuna kiumbe kiitwacho Shetani kinacho toa utajiri. Utajiri na pesa hutoka kwa binadamu. Hakuna kiumbe kiitwacho Shetani chenye pesa.
Pesa ni za binadamu, Si za Mungu wala Shetani.
Hakuna Mungu, Shetani, Jini, Pepo au nguvu yeyote ile ya kimiujiza inayotoa Utajiri.
Pesa, Mali na utajiri hupatikana kwa nguvu za kibinadamu na wanadamu.
Ni wajanja wachache tu huwalaghai na kuwadanganya watu wengine kwamba kuna shetani anatoa utajiri ili kuwahadaa na kuwapumbaza watu wajinga wasiotaka kuhustle wenyewe wakitegemea mafanikio ya kuletewa.
Ndio maana unakuta wanawekewa masharti makali ya kupata pesa hizo ambao wao hudhani ndio masharti ya kishetani ya huyo shetani, Kumbe ni masharti ya binadamu wajanja tu.
The supernatural power is You, Yourself.
Hakuna Mungu wala Shetani anayetoa utajiri, pesa au mali.
I'm out.
Oya huu ulimwengu una segments kibao na line ambazo mtu anatembelea. Kama unataka kujua line nyingine kazitafiti, msije na conclusion.Naunga mkono hoja mkuu hakuna mungu Wala shetani hizo ni Hadithi za kutunga za binadamu tu
Kama kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina nenda kautumie kwa nguvu zako zote Uwazidi matajiri wakubwa duniani.Umeingia field kujaribu? Una ujasiri? Vinginevyo hizi ni stori za mtu wa kawaida sana. Lawama au habari hizi za nguvu za ajabu( au uchawi), zipo kila sehemu.
Siku hizi dunia ina share taarifa, tunaona watu wa jamii zote, waafrika, wazungu,wahindi na waarabu wapo ambao wanakiri uwepo wa mambo hayo.
Jaribu mkuu uje na uhakika wa hiki unachosema hakipo. Vinginevyo bakia kama mimi kuwa HAUJUI.
Mkuu, we utakuwa mchawi, siyo bure. Au umeamua tu kujitoa ufahamuWaafrika wengi hasa watanzania wamekuwa wakiamini kwa muda mrefu kwamba kuna utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina. Cha kushangaza hali zao za kiuchumi ziko vilevile miaka nenda rudi.
Kama kweli kwa hakika unajua na kuamini kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina. Kwa nini usiutumie kwa nguvu zako zote uwe tajiri mkubwa nchini Tanzania, Afrika na duniani?
Kwa nini ujihangaishe kufanya kazi na kuchoka ilhali unajua kuna utajiri wa kishetani?
Kamtumie huyo shetani akutajirishe kama ni rahisi hivyo!!
Katoe kafara za kutosha ikiwezekana hata ukoo wako wote tuone kama biashara yako itakuwa kubwa au utaweza hata kufikia utajiri wa Bakhressa.
Kama kweli kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina. Kwa nini usiutumie kwa nguvu zako zote, Uwazidi matajiri wakubwa Afrika kama Aliko Dangote, Bakhressa, Mo Dewji na matajiri wengine wakubwa duniani kama Elon musk, Jeff Bezos?
Kama kweli unajua na kuamini kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina. Kwa nini hujautumia huo uchawi, ushirikina, uganga angalau ufike hata level za utajiri wa Mo Dewji?
Kama unaamini kuna Shetani akitolewa kafara anatoa mali au atakupa mali za kukutajirisha, Katoe kafara wazazi wako au wanao wote tuone kama hata utafika level za utajiri wa Dangote.
Au kama unaamini kuna utajiri wa ndagu, uganga, ulozi n.k
Mwambie huyo mtoa ndagu au mganga, Akupe utajiri angalau umfikie au umzidi Bakhressa kama ana huo uwezo.
Au mwambie huyo mganga akuwezeshe umiliki private jet ✈️, Kiwanda kikubwa cha uzalishaji, Magari makali ya kifahari kama Rolls-Royce Boat tail, Mercedes Maybach, Buggati, Lamborghini, Cadillac escalade au akishindwa sana angalau akupe Range rover sport kwa uganga wake tu.
Waafrika wengi hasa watanzania wana amini kuna utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina lakini bado maisha yao ni ya kimaskini, kikapuku, kifukara pangu pakavu tia mchuzi.
Kama unaamini au unajua kuna Shetani anatoa utajiri, Kamtumie kwa nguvu zako zote akutajirishe na uwe tajiri kweli, Angalau ufike level za utajiri wa kina Dangote.
Kisha ndio uanze kusema kwamba kuna utajiri wa kishetani.
Habari za utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina, Husikika tu kwa waafrika maskini choka mbaya, wajinga, wavivu, makapuku, makabwela na mafukara ambao wanashinda vijiweni na vilabuni waki danganyana na kupeana matumaini uchwara ya utajiri wa kufikirika.
Hakuna kiumbe kiitwacho Shetani kinacho toa utajiri. Utajiri na pesa hutoka kwa binadamu. Hakuna kiumbe kiitwacho Shetani chenye pesa.
Pesa ni za binadamu, Si za Mungu wala Shetani.
Hakuna Mungu, Shetani, Jini, Pepo au nguvu yeyote ile ya kimiujiza inayotoa Utajiri.
Pesa, Mali na utajiri hupatikana kwa nguvu za kibinadamu na wanadamu.
Ni wajanja wachache tu huwalaghai na kuwadanganya watu wengine kwamba kuna shetani anatoa utajiri ili kuwahadaa na kuwapumbaza watu wajinga wasiotaka kuhustle wenyewe wakitegemea mafanikio ya kuletewa.
Ndio maana unakuta wanawekewa masharti makali ya kupata pesa hizo ambao wao hudhani ndio masharti ya kishetani ya huyo shetani, Kumbe ni masharti ya binadamu wajanja tu.
The supernatural power is You, Yourself.
Hakuna Mungu wala Shetani anayetoa utajiri, pesa au mali.
I'm out.
acha ujinga,utajiri wa kichawi UPOWaafrika wengi hasa watanzania wamekuwa wakiamini kwa muda mrefu kwamba kuna utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina. Cha kushangaza hali zao za kiuchumi ziko vilevile miaka nenda rudi.

Nenda kautumie kwa nguvu zako zote huo utajiri wa kichawi.acha ujinga,utajiri wa kichawi UPO.
Hakuna aliyekuwekea mipaka ya jinsi ya kuishi.Kila mtu aishi imfaavyo tusiwekeane mipaka bana