Hakuna utajiri wa kishetani, Kama kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina, Kwanini watu maskini wasiutumie kuondokana na umaskini wao?

Hate speech siku hizi inakumbatiwa JamiiForums

This thread is a form of hate speech ambayo imeletwa na sii mwingine bali na Infropreneur ambae kwa wazi huwa anatukana na kuwazodoa Waafrika, hususani kwa rangi za ngozi zao. Huyu member ana chuki na misimango dhidi ya Waafrika. Ni mbaguzi. He is Racist.

Laana ya Muumba ni nzito. Laana inamtafuna huyu Infro na Ukoo wake wote kwa chuki na masimango.

Huyu yawezekana ni mwajiriwa wa JamiiForums, inakuwaje hate speech zake zinaachiwa? Ni mbegu gani hii mnayotaka kupanda kwa Jamii ya Watanzania?
 
Huyo nimedhibitisha ni mgonjwa ana shida ya akili.
 
Don't come here to vomit your nonsense.
 
Huyo nimedhibitisha ni mgonjwa ana shida ya akili.
nimedhibitisha❌

Kajifunze kwanza somo la mwandiko. Rudi chekechea.

Hujui hata kuandika, Ndio utaweza kujenga hoja na mimi?

Don't come here to advertise your ignorance.

Go back to school to learn how to write.
 
Uyu Bado mtoto sidhani kama ata miaka 30 anayo ndo vile vitoto vimemalza chuo havina Kazi vinasota tu ila huo msoto unaoupitia utakufundisha vitu ving ambavyo hukufundishwa shule, ungekuwa tajiri usingeandiza hizo pumba zako, ukikua utajua kwanini babaako na ukoo wako wote wameshindwa kuwa matajiri, pambana wewe ndo uwe tajiri kwa hizo njia za halali uone kama ni rahisi😅😅😅🖕🖕🖕
 
🖕Kwa baba na Mama yako waliozaa punguani na tahira kama wewe.

Baba yako bora angemwaga shahawa zake chooni kuliko kuzaa tahira takataka kama wewe.

Idiot, nincompoop.
 
Umeingia field kujaribu? Una ujasiri? Vinginevyo hizi ni stori za mtu wa kawaida sana. Lawama au habari hizi za nguvu za ajabu( au uchawi), zipo kila sehemu.
Siku hizi dunia ina share taarifa, tunaona watu wa jamii zote, waafrika, wazungu,wahindi na waarabu wapo ambao wanakiri uwepo wa mambo hayo.
Jaribu mkuu uje na uhakika wa hiki unachosema hakipo. Vinginevyo bakia kama mimi kuwa HAUJUI.
 
Naunga mkono hoja mkuu hakuna mungu Wala shetani hizo ni Hadithi za kutunga za binadamu tu
Oya huu ulimwengu una segments kibao na line ambazo mtu anatembelea. Kama unataka kujua line nyingine kazitafiti, msije na conclusion.
Ukute chief haujawahi kwenda kwa mganga, au kucheki hiyo michakato hasi...

Kuna sehemu mtu alizingua, wazee wakachukia... wakaenda kituo cha polisi kuwaambia polisi kuwa siku inayofatia atatokea mnyama na ataua mtu, wasihanagike kupoteza muda na risasi ataondoka mwenyewe. Na kweli ikawa hivyo,yule kijana aliuwawa na mnyama wa mwituni.

Mimi yakija hayo mambo huwa sina uhakika lakini kwa kuwa kuna watu wana ushahidi na wamefanya huwa siwabishii.
 
Kama kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina nenda kautumie kwa nguvu zako zote Uwazidi matajiri wakubwa duniani.

Sio kuja hapa JF kujifanya kuna utajiri wa kishetani, Halafu kuutumia hautaki.
 
Ni kitita cha pesa ili kumuona mganga, masikini atatoa wapi? Hata hivyo masikini wengi hawana roho ya kuthubutu, utajiri ni kuthubutu.
 
Mkuu, we utakuwa mchawi, siyo bure. Au umeamua tu kujitoa ufahamu
 
Utajiri wa kishetani sio wa kimwili, ni wa kiroho.

Wachawi hujivunia kuwa na namba ya misukule. Halafu, hawajivunii kumiliki plot, bali kumiliki kipande cha anga. Hujivunia kukwamisha maisha ya watu walioshindikana hasa wanaoswali/sali (kama vile mtu wa kawaida amekuwa akishindwa kumuu mtu mwenye ulinzi mkali mf. Raisi)... Nk nk nk
 
acha ujinga,utajiri wa kichawi UPO
 
acha ujinga,utajiri wa kichawi UPO.
Nenda kautumie kwa nguvu zako zote huo utajiri wa kichawi.

Angalau uwazidi matajiri wakubwa hapa Afrika kama Dangote, Bakhressa au at least Mo Dewji.

Ukifanikiwa ulete mrejesho.

Unless otherwise habari za utajiri wa kishetani husikika tu kwa waafrika maskini choka mbaya pangu pakavu tia mchuzi.
 
Kila mtu aishi imfaavyo tusiwekeane mipaka bana
Hakuna aliyekuwekea mipaka ya jinsi ya kuishi.

Ila ukianza kudai kwamba kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina halafu na wewe mwenyewe ni maskini hapo utakuwa unadanganya.

Kama unajua kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina, Kwa nini usiutumie kuwa tajiri?

Angalau uwazidi matajiri wakubwa kama kina Dangote au Elon musk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…