Hakuna utajiri wa kishetani, Kama kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina, Kwanini watu maskini wasiutumie kuondokana na umaskini wao?

Ninavyokuona upande huu si wako na wala hujui chochote,ungefungua tu thread ya mambo mengine na si upande huu,ulichoongea ni opinion na si fact
 
Ninavyokuona upande huu si wako na wala hujui chochote,ungefungua tu thread ya mambo mengine na si upande huu,ulichoongea ni opinion na si fact
Leta facts zako za utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina.

Leta facts na uthibitisho.

Usilete hadithi za kusimuliwa na stori za vijiweni.

Leta facts na uthibitisho wa tajiri gani hapa Ulimwengu alitajirika kwa uchawi, ushirikina, uganga au shetani.

Eleza na utoe uthibitisho clearly.

Kama huna hizo facts na evidences usilete stori za vijiweni hapa.
 
Mbona wanazitumia mkuu
 
Nikw

Katika watu wanaojiona wanaonekana wajinga mmoja wapo ni wewe, soma hapa Kisha njoo pm na namba yako nikupe elimu acha kubishana kwa usiyoyajua, hakuna anae weka siri zake hadharani
 
Nikw



Katika watu wanaojiona wanaonekana wajinga mmoja wapo ni wewe,
Don't come here to advertise your ignorance.
soma hapa Kisha njoo pm na namba yako nikupe elimu acha kubishana kwa usiyoyajua, hakuna anae weka siri zake hadharani
Wewe kama una amini kuna utajiri wa kishetani mbona hata hujafikia level za kina Mo Dewji?

Nenda kautumie huo uchawi na ushirikina uwazidi matajiri wakubwa kama kina Dangote, Bakhressa na kina Elon musk.

Sio unapiga porojo hapa na stori za vijiweni.
 
Mbona wanazitumia mkuu
Uchawi wa waafrika ungekuwa unafanya kazi na kuleta maendeleo kweli, Serikali za nchi za Afrika zisingehitaji misaada na mikopo ya wazungu.

Waafrika wange tajirika kwa uchawi tu.

Lakini waafrika wengi wanao amini habari za utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina ndio mafukara wakubwa na maskini choka mbaya kabisa.
 
Masikini ameshika sana hizi dini za kigeni, aishi hata kwa taabu ili mwisho aende mbinguni. Ndio masna masikini anabaki masikini. Kuuwa kwake ni mwiko. Utajiri ni LAZIMA ufanye ubaya.
 
Ninavyokuona upande huu si wako na wala hujui chochote,ungefungua tu thread ya mambo mengine na si upande huu,ulichoongea ni opinion na si fact
Mbona naona mnajisumbua kubishana na huyo mwehu? Watu wa namna hio ndio kama ma atheist akina Kiranga wasioamini chochote wao wanaishi kama mazombie. Kubishana na Hawa wehu ya hitaji moyo mkuu na muda pengine utoe siku nzima kubishana nao utapoteza muda na kujichosha.
 
Mwehu ni Baba na Mama yako waliozaa punguani kama wewe.

Don't come here to vomit your nonsense.

Idiot nincompoop.
 
Umeongea jambo la maana mkuu hawa wapumbavu wanajitoa mno akili hawataki kutambua life realities
 
Kwa nini ninachoamini au nisichoamini kinakusumbua sana mpqka unanitag hapa mkuu?

Una matatizo gani ya kisaikolojia katika maisha yako yanayokufanya ujali sana maisha ya mtu baki usiyemjua kama mimi?

Mimi mbona hata sikujui ndiyo naiona ID yako leo, kama tulikutana sehemu huna umuhimu kwangu mpaka sikukumbuki, na hujawahi kunisumbua kabisa, usumbufu pekee ni kunitag hapa tu ?

Mimi mbona sijali wewe unachoamini au usichoamini, naona hiyo ni haki yako ya kikatiba na kibinadamu tu. Nakupa nafasi uishi unavyotaka bila kukunyanyapaa.

Ndivyo waumini mnavyofundishwa hivyo? Muwanyanyapae watu wasioamini kama nyinyi?

Mbona hapa mimi mtu nisiyeamini ndiye naonekana mtu wa peace and love sijakunyanyapaa wewe kwa kuamini unavyotaka, halafu wewe mtu wa imani ndiye unaonekana mshari, tu wa kunyanyapaa watu kwa sababu wako tofauti na wewe?

Wewe ni katibya wale watekaji wa Boko Haram au kikundi gani wewe? Au ni masalia ya Lord's Resistance Army ya Joseph Korny wewe? Au Mtalibani wewe?

Ndivyo watu wa imani mnavyofundishwa hivyo? Kunyanyapaa watu kwa sababu hamkubaliani nao katika imani zenu?
 
Au mwambie huyo mganga akuwezeshe umiliki private jet ✈️, Kiwanda kikubwa cha uzalishaji, Magari makali ya kifahari kama Rolls-Royce Boat tail, Mercedes Maybach, Buggati, Lamborghini, Cadillac escalade au akishindwa sana angalau akupe Range rover sport kwa uganga wake tu.🍷🍾
 
Sawa atheist vampire go to ignore list.
 
Sawa atheist vampire go to ignore list.
Wewe nyungunyungu ngumbaru usiye na uti wa mgongo wala ubongo nakupeleka ignore list usichafue hewa hapa, kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.

Nilikuwa siwezi hata kuku ignore kwa sababu nilikuwa sikujui na leo leo nimekujua na kuku ignore.
 
Nikikuita bwege elewa , wewe unaelumu sio , Kwa nn hujaitumia elimu yako kufanya Jambo kubwa kuliko wenye elimu kama yako umebaki kuwa mfuasi tu, hata kwenye huo uchawi kuna kuzidiana Acha kuleta upuuzi wako humu , nikutaafharishe tu wewe kichwani mwako kilichoko nisawa na hamna Kwa watu wengine ( ukielewa hapo itakusaidia na nitakujibu tena) na ukibisha nitakutoa kafara niogelee minoti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…