Mkuu usifiri nimezaliwa jana, hizo drama tu hazina uthibitisho wowote zaidi ya stories za kuunga unga tuShida machache mnayajua kuliko mengi msiyo yajua. Uchawi upo na ni hakika.
Mjitahidi msiwe mnajadili mambo ambayo hamna elimu nayo. Sababu mnaonekana vituko mno.
Hata ungekuwa umezaliwa Karne kadhaa, kwenye wewe ni mjinga sana, tena umezidi ujinga.Mkuu usifiri nimezaliwa jana, hizo drama tu hazina uthibitisho wowote zaidi ya stories za kuunga unga tu
kumbe na wewe unapanic kisa hauwezi kuthibitisha uchawi, kwa hiyo ulitaka niamini uchawi upo ili usinione mjinga?Hata ungekuwa umezaliwa Karne kadhaa, kwenye wewe ni mjinga sana, tena umezidi ujinga.
Unataka uthibitishiwe kwa namna gani ?
Badilisha hiyo ID, la sivyo unatudhalilisha...Mleta mada nasikitika sana kusema kuwa, "huenda umelewa, ngoja pombe zikate...!!"
Aliyekwambia mimi ni mtoto ni nani?Wee mtoto kuwa uyaone
Aliyekwambia mimi ni kijana ni nani?Unajua wewe kijana ni mjinga sana sijapata kuona ?
Watu hayo mambo hawayafanyia sababu wanajua hatima zake na wanamuogopa Mola aliye juu.
Hao wanaoingia humo ni WAJINGA na wanaamua tu kujitoa ufahamu, ila mtu mwenye akili anajizuia na mambo hayo.
Mkuu mtu akishaona account yake imejoin humu mbele ya account yako anajiona mkubwa 😅😅Aliyekwambia mimi ni mtoto ni nani?
Au unadhani wewe pekee ndio mtu mzima hapa JF?
Idiot.
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo shetani.Tatizo ni Masharti kama unautaka njoo nikupeleke halafu viwanda vikubwa havikuanza kama Uyoga vilianza kitambo na hata hao wao wanaomiliki hizo Rolls Royce nao hawakuamka na kuyamiliki wengine hta walishirikiana na huyo Shetani kuyamiliki
Mimi sina hasira.Mleta uzi punguza hasira.
Wewe kama ulishakuwa exposed kwenye hayo mambo, Ulishindwaje kuwa tajiri mkubwa walau hata hapa Tanzania tu?Kila mtu ana stress sema tunakausha kiume. Kuna baadhi ya mambo hapa duniani bora tu usiyajue. Mleta mada furahia tu maisha yako unayoishi kwa sababu kuna mambo hujawa exposed kabisa ndo maana unaandika kama mtoto mchanga na kutaka watu wote wakubaliane nawe. Tulia kijana.
mkuu kifupi huna hojaUnathibitisha vipi nina hangaika?
Mnaohangaika ni ninyi mnaodai kuna utajiri wa kishetani halafu kuutumia mtajirike hamuwezi.
Mnabaki kutetea vitu vya kusadikika na kufikirika.
Thibitisha uwepo wa Muumba.mkuu kifupi huna hoja
kuamini kitu kipo na kukitumia ni mambo mawili tofauti
uchawi upo na muumba yupo, kama maskini kakataa utumia uchawi na kajishikiza kwa muumba unamwita vipi mjinga
Masharti gani?kama ameona hawezi ishi kwa masharti unasema vipi ni mjinga
yaani ni kama mgonjwa wa HIV ambaye haamini kunywa dawa kila siku kama tiba akidhoofika utasema hakuna tiba ya kufubaza virusi kwa kuwa jamaa kadhoofika na wanasema kuna vidonge
Akili ni nini?Kwani ukitumia akili unaumwa kichwa?
Don't come here to advertise your ignorance.Mimi nikisema huyu jamaa na kundi lake wamedata mnadhani utani.