Hakuna utajiri wa kishetani, Kama kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina, Kwanini watu maskini wasiutumie kuondokana na umaskini wao?

Hakuna utajiri wa kishetani, Kama kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina, Kwanini watu maskini wasiutumie kuondokana na umaskini wao?

Shida machache mnayajua kuliko mengi msiyo yajua. Uchawi upo na ni hakika.

Mjitahidi msiwe mnajadili mambo ambayo hamna elimu nayo. Sababu mnaonekana vituko mno.
Mkuu usifiri nimezaliwa jana, hizo drama tu hazina uthibitisho wowote zaidi ya stories za kuunga unga tu
 
Hata ungekuwa umezaliwa Karne kadhaa, kwenye wewe ni mjinga sana, tena umezidi ujinga.

Unataka uthibitishiwe kwa namna gani ?
kumbe na wewe unapanic kisa hauwezi kuthibitisha uchawi, kwa hiyo ulitaka niamini uchawi upo ili usinione mjinga?
 
Tatizo ni Masharti kama unautaka njoo nikupeleke halafu viwanda vikubwa havikuanza kama Uyoga vilianza kitambo na hata hao wao wanaomiliki hizo Rolls Royce nao hawakuamka na kuyamiliki wengine hta walishirikiana na huyo Shetani kuyamiliki
 
Unajua wewe kijana ni mjinga sana sijapata kuona ?
Aliyekwambia mimi ni kijana ni nani?

Mjinga ni baba na Mama yako waliozaa punguani kama wewe.

Idiot.
Watu hayo mambo hawayafanyia sababu wanajua hatima zake na wanamuogopa Mola aliye juu.

Hao wanaoingia humo ni WAJINGA na wanaamua tu kujitoa ufahamu, ila mtu mwenye akili anajizuia na mambo hayo.
 
Tatizo ni Masharti kama unautaka njoo nikupeleke halafu viwanda vikubwa havikuanza kama Uyoga vilianza kitambo na hata hao wao wanaomiliki hizo Rolls Royce nao hawakuamka na kuyamiliki wengine hta walishirikiana na huyo Shetani kuyamiliki
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo shetani.
 
Mleta uzi punguza hasira.
Mimi sina hasira.

Mimi najenga hoja hapa, kwa watakao jenga hoja.

Ila kwa hawa wajinga wanaokuja kutema nyongo hapa, Nitadili nao.

They shouldn't come here to vomit their nonsense.
Kila mtu ana stress sema tunakausha kiume. Kuna baadhi ya mambo hapa duniani bora tu usiyajue. Mleta mada furahia tu maisha yako unayoishi kwa sababu kuna mambo hujawa exposed kabisa ndo maana unaandika kama mtoto mchanga na kutaka watu wote wakubaliane nawe. Tulia kijana.
Wewe kama ulishakuwa exposed kwenye hayo mambo, Ulishindwaje kuwa tajiri mkubwa walau hata hapa Tanzania tu?

Au unafikiri kila tajiri mkubwa alitumia hayo mambo ndio akawa tajiri?
 
Shida sio utajiri.
Shida masharti.
Unaambiwa umuue baba yako au mama yako utaweza?
umtoe kafara mtoto wako utaweza?
Usilale kwenye godoro maisha yako yote utaweza?
 
Unathibitisha vipi nina hangaika?

Mnaohangaika ni ninyi mnaodai kuna utajiri wa kishetani halafu kuutumia mtajirike hamuwezi.

Mnabaki kutetea vitu vya kusadikika na kufikirika.
mkuu kifupi huna hoja
kuamini kitu kipo na kukitumia ni mambo mawili tofauti

uchawi upo na muumba yupo, kama maskini kakataa utumia uchawi na kajishikiza kwa muumba unamwita vipi mjinga

kama ameona hawezi ishi kwa masharti unasema vipi ni mjinga

yaani ni kama mgonjwa wa HIV ambaye haamini kunywa dawa kila siku kama tiba akidhoofika utasema hakuna tiba ya kufubaza virusi kwa kuwa jamaa kadhoofika na wanasema kuna vidonge
 
mkuu kifupi huna hoja
kuamini kitu kipo na kukitumia ni mambo mawili tofauti

uchawi upo na muumba yupo, kama maskini kakataa utumia uchawi na kajishikiza kwa muumba unamwita vipi mjinga
Thibitisha uwepo wa Muumba.

Thibitisha uwepo wa uchawi.

Kabla ya kusema vipo.

Kuamini unaweza kuamini hata uongo, Sasa tuhakikisha vipi hiyo imani yako ya uchawi ina ukweli?
kama ameona hawezi ishi kwa masharti unasema vipi ni mjinga
Masharti gani?

Ya orodheshe hapa hayo masharti.

Huyo anayetoa hayo masharti ana hata utajiri wa kumzidi mtu kama Dangote?

Au ndio hao waganga maskini choka mbaya wako kwenye vibanda vya makuti na matunguli yao?
yaani ni kama mgonjwa wa HIV ambaye haamini kunywa dawa kila siku kama tiba akidhoofika utasema hakuna tiba ya kufubaza virusi kwa kuwa jamaa kadhoofika na wanasema kuna vidonge
 
Back
Top Bottom