Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
You are the one who lacks knowledge, attempting to deny spirituality is even more profound ignorance.Don't come here to advertise your ignorance.
mkuu unafurahishaThibitisha uwepo wa Muumba.
Thibitisha uwepo wa uchawi.
Kabla ya kusema vipo.
Kuamini unaweza kuamini hata uongo, Sasa tuhakikisha vipi hiyo imani yako ya uchawi ina ukweli?
Masharti gani?
Ya orodheshe hapa hayo masharti.
Huyo anayetoa hayo masharti ana hata utajiri wa kumzidi mtu kama Dangote?
Au ndio hao waganga maskini choka mbaya wako kwenye vibanda vya makuti na matunguli yao?
Ulifanya uchunguzi upi, Utafiti upi na una uthibitisho upi kwamba matajiri wakubwa duniani walifanikiwa kwa mikono ya shetani?Hata hao matajiri wakubwa duniani.ukichunguza sana Kuna mikono ya shetani.
Ndo maana Kuna freemason na illuminati.wote hao wapo chini ya sheytwan
What is spirituality?You are the one who lacks knowledge, attempting to deny spirituality is even more profound ignorance.
How can I waste my time explaining something you don't believe?What is spirituality?
And how do you prove it in reality?
Freemason unawajua,?Ulifanya uchunguzi upi, Utafiti upi na una uthibitisho upi kwamba matajiri wakubwa duniani walifanikiwa kwa mikono ya shetani?
Kama kuna shetani, Freemason au Illuminati anatoa utajiri, Nenda kawatumie uone kama kuna utajiri wa namna hiyo.
Kwa mantiki hiyo, hata ulichoandika hapa ni hadithi za kutunga binadam tu.Naunga mkono hoja mkuu hakuna mungu Wala shetani hizo ni Hadithi za kutunga za binadamu tu
Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika, kuhisika na kupimika.mkuu unafurahisha
wewe una weza thibitisha uwepo wa hewa, usingizi, hasira upendo ama raha
Mungu mmemtunga vichwani mwenu tu ndio maana huwezi kuthibitisha uwepo wake.ukishindwa thibitisha ivo basi tuseme havipo kama ambavyo una amini Muumba na shetani hawapo
Ndio nawajua.Freemason unawajua,?
Basi nadhani wewe ndo unatakiwa uutafute usome.uone matajiri wakubwa duniani walivyo watumwa wa shetaniNdio nawajua.
Kuna uzi wa Maxence Melo upo hapa JF utafute. Umeelezea vizuri kuhusu Freemason.
How do you prove your beliefs are true?How can I waste my time explaining something you don't believe?
Niambie na thibitisha utumwa wa shetani wa Mo Dewji ni upi?Basi nadhani wewe ndo unatakiwa uutafute usome.uone matajiri wakubwa duniani walivyo watumwa wa shetani
Uwepo wako wewe ni Imani tosha kwamba Mungu yupo!Siamini kwenye kuamini. Sina imani ya aina yeyote ile.
Sihitaji kuamini, Nahitaji kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.
It's knowledge, not simply a belief.How do you prove your beliefs are true?
How can we verify your beliefs are true?
Uwepo wangu hauna uhusiano wowote ule na uwepo wa huyo Mungu.Uwepo wako wewe ni Imani tosha kwamba Mungu yupo!
Knowledge must have facts, evidences, logic, proofs and reasoning.It's knowledge, not simply a belief, you lack it, which is why you believe it to be just a belief.
Lakini uchawi upoNaunga mkono hoja mkuu hakuna mungu Wala shetani hizo ni Hadithi za kutunga za binadamu tu
I am aware of the difference, and I have already implied that you are lack spiritual knowledge.Knowledge must have facts, evidences, logic, proofs and reasoning.
Beliefs are just fictional thoughts in your head without any evidence.