Hakuna utajiri wa kishetani, Kama kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina, Kwanini watu maskini wasiutumie kuondokana na umaskini wao?

Hakuna utajiri wa kishetani, Kama kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina, Kwanini watu maskini wasiutumie kuondokana na umaskini wao?

Thibitisha uwepo wa Muumba.

Thibitisha uwepo wa uchawi.

Kabla ya kusema vipo.

Kuamini unaweza kuamini hata uongo, Sasa tuhakikisha vipi hiyo imani yako ya uchawi ina ukweli?

Masharti gani?

Ya orodheshe hapa hayo masharti.

Huyo anayetoa hayo masharti ana hata utajiri wa kumzidi mtu kama Dangote?

Au ndio hao waganga maskini choka mbaya wako kwenye vibanda vya makuti na matunguli yao?
mkuu unafurahisha
wewe una weza thibitisha uwepo wa hewa, usingizi, hasira upendo ama raha

ukishindwa thibitisha ivo basi tuseme havipo kama ambavyo una amini Muumba na shetani hawapo
 
Hata hao matajiri wakubwa duniani.ukichunguza sana Kuna mikono ya shetani.
Ulifanya uchunguzi upi, Utafiti upi na una uthibitisho upi kwamba matajiri wakubwa duniani walifanikiwa kwa mikono ya shetani?

Kama kuna shetani, Freemason au Illuminati anatoa utajiri, Nenda kawatumie uone kama kuna utajiri wa namna hiyo.
Ndo maana Kuna freemason na illuminati.wote hao wapo chini ya sheytwan
 
Ulifanya uchunguzi upi, Utafiti upi na una uthibitisho upi kwamba matajiri wakubwa duniani walifanikiwa kwa mikono ya shetani?

Kama kuna shetani, Freemason au Illuminati anatoa utajiri, Nenda kawatumie uone kama kuna utajiri wa namna hiyo.
Freemason unawajua,?
 
mkuu unafurahisha
wewe una weza thibitisha uwepo wa hewa, usingizi, hasira upendo ama raha
Angalau kitu kinaweza kuwepo kwa namna mojawapo ya kuonekana, kushikika, kusikika, kuhisika na kupimika.

Hewa ipo inahisika,inavutwa na inapimika ipo.

Usingizi upo, una hisika, una u experience na kujua upo.

Upendo upo unapimika kwa kumu observe mtu.

Hasira ipo inapimika kwa kumu observe mtu pia.

Sasa huyo Mungu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.

Haonekani, Hashikiki, Hasikiki, Haisiki na wala hapimiki.

Mungu huyo ni mawazo ya kufikirika tu, imaginations just an illusion.
ukishindwa thibitisha ivo basi tuseme havipo kama ambavyo una amini Muumba na shetani hawapo
Mungu mmemtunga vichwani mwenu tu ndio maana huwezi kuthibitisha uwepo wake.
 
Basi nadhani wewe ndo unatakiwa uutafute usome.uone matajiri wakubwa duniani walivyo watumwa wa shetani
Niambie na thibitisha utumwa wa shetani wa Mo Dewji ni upi?

Niambie na thibitisha utumwa wa shetani wa Bakhressa ni upi?

Niambie na thibitisha utumwa wa shetani wa Aliko Dangote ni upi?

Niambie na thibitisha utumwa wa shetani wa Elon musk ni upi?

Niambie na thibitisha utumwa wa shetani wa Billgates ni upi?
 
It's knowledge, not simply a belief, you lack it, which is why you believe it to be just a belief.
Knowledge must have facts, evidences, logic, proofs and reasoning.

Beliefs are just fictional thoughts in your head without any evidence.
 
Unasema kwa utafiti ulioufanya kwa wenye utajiri wangapi au unasema Sema tu kutafuta Habari za uhakika humu ndani.
Shetani ni nini kwa mtazamo wako. Anaonekanaje? Je yeye ni tajiri kwa kiasi gani? Je anaweza kugawa huo utajiri kwa kila anayehitaji? 😀
Wewe binafsi unaweza chukua utajiri wake akikupa?
 
Back
Top Bottom