Hakuna utajiri wa kishetani, Kama kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina, Kwanini watu maskini wasiutumie kuondokana na umaskini wao?

Mtoa post wewe ni mjinga sana. Kila kitu kina limit yake. Unapaswa kujua aina za utajiri
1. Utajiri wa Maombi +Bahati+bidii yakazi +Maarifa
2. Utajiri wa nguvu za giza+Juhudi+maarifa+Juhudi ya kazi.
3. Utajiri wa bidii peke +,maarifa+location
4. Utajiri wa bahati.

Pia jua mambo.yafuatayo.
1. Muujiza wa maombi haufanyi kazi kwa kila mtu, itategemea uhusianobwako na Mungu. Kuna mtu anawezs kuombewa shida yake ikaisha au ugonjwa ukaisha na kuna mwingine hata aombewe vipi hawezi kupona.
2. Utajiri wa uchawi haufanyi kazi kwa kila mtu itategemea na Nyota yako n.k

Mipaka.
Kila kitu kina mipaka yake kuna kiwango hutaweza kuvuka kwa namna yoyote ile
Aiseee! Masikini mna tabu sana hapa ukiambiwa utoe mifano utaruka kama chura
 
Ila unajua kuwa Kuna prayers!
Prayers zipo kwenu nyie watu wa imani. Sio kwangu.
Anyway hivi unawezasema tu na ukakaa pesa zikaja zenyewe au unatakiwa kupiga kazi Sawasawa na ulichosomea?
Pesa zinakuja kwa kufanya kazi. Sio kwa sala wala imani.
Kama ndio basi hata prayers ni hivyohivyo.
Imani bila matendo imekufa😄
Matendo bila imani bado yapo.

Imani bila matendo, haipo na hai function.

Hivyo imani is functionless na haisaidii chochote.
 
Badilisha hiyo ID, la sivyo unatudhalilisha...
Unajua ID ni Kwa ajili yangu, sio Kwa ajili ya mtu mwingine, na pia nakudhalilisha wewe na nani ikiwa Mimi mwenyewe ndiye niliyejiita Technologist na sikumshirikisha yeyote.

Je, mkuu nakudhalilisha wewe na nani?

Usiende sana maisha Yako kuishi kumfurahisha Fulani/watu wewe utakuwa gerezani daima.

Hivi nani asiyejua mambo ya kishirikina kuanzia ndugu zetu Albino na mambo kama hayo?

Na narudia huyu mleta mada kama hajalewa basi ni Mmoja wa wachawi.
 
Prayers zipo kwenu nyie watu wa imani. Sio kwangu.

Pesa zinakuja kwa kufanya kazi. Sio kwa sala wala imani.

Matendo bila imani bado yapo.

Imani bila matendo, haipo na hai function.

Hivyo imani is functionless na haisaidii chochote.
Imani ni nini

Huoni hata wewe unayo Imani juu ya kutokuwepo kwa shetani?
 
Sababu Ushirikina ni jambo baya na mafikio yake ni motoni. Kwanini nifanye jambo ambalo litaniangamiza na kuwa na mwisho mbaya ?

Acha wafanye hao wachache ambao hawajui hatima zao isipokuwa maisha ya Dunia na ufahari.
Ukishakuwa kapuku waliotajirika unawaona wachawi

Mwisho mtasema mzee Bakhresa na ukoo wake ni wachawi

Waarabu na mafuta yao wanayouza duniani kote mtasema ni wachawi
 
Mambo ya kiimani ni illusions zilizoteka dunia hii hasahasa Africa , mtu hawezi kukuelewa kumwambia mambo ya Imani ni vitu vya kufikirika, Yani kumwambia mtu hakuna MUNGU Wala shetani , weee atakuona kama vile we ndo shetani mwenyewe😂 . Maisha ndo haya haya tuyaishi Wala hakuna nguvu ya kiroho ( mwanga au Giza) inayokufanikishia jambo lako sijui uhai pesa , Imani ni stori za abunuwasi
 
Unajua mwanadamu Ni mbishi Sana Sana Hadi pale akipigwa ndumba vizuri ndipo atajua kwamba hizi vitu zipo.

Kuna Mambo nayatafakari bado hayaleti kuamini kwamba uchawi haupo. Nakumbuka nikiwa mdogo nakua, mama mzazi Kuna dawa moja yakienyeji alikuwa anawachanja watoto tu pale mtaani ambayo anadai alirithishwa na mkwe wake. Ilikuwa inaitwa dawa ya bengu. Ugonjwa wenyewe unaitwa bengu ambao mtoto anavimba tumbo anapata na homa, mwili kudhoofu na kinyesi kinakuwa manjano na kijani.
Sasa Kuna mti wa porini alikuwa anachubua magamba yake anaanika nakusaga ungaunga then anachimba matunda Fulani yaporini yapo Kama viazi mviringo Kisha anapasua vipande viwili ili wakati anamtibu mtoto huchukua matunda hayo kama kiazi mviringo na kuyachovya kwenye ule ungaunga kisha kumpaka mtoto eneo la tumbo ambapo tayari ameshamchanja chale eneo lote linaloumwa.
Tukio hili la kuchanja linafanyika njia panda
Na vifaa vyote vinawekwa kwenye kigae/kipande Cha chungu.
Akimaliza kumchanja nakumpaka dawa anamwambia mama mtoto aondoke atangulie nyumbani lkn asiongee na mtu wala kugeuka nyuma afike afungue mlango nakuingia ndani Kisha anasimama kwa ndani Kisha mama anafika na kumwita mama mtoto " mama Fulani mama Fulani"
Anaitika Kisha anamuuliza "bengu umeiacha wapi? Anajibu " nimeiacha njia panda" hapo zoezi la tiba linakuwa limekamilika hivyo Basi mama anampa maelekezo kwamba aondoke na Yale matunda Kama viazi mviringo achimbe kwenye jiko lakuni alafu awe anapikia hapo. Na kila anapokuwa anapikia hapo ule Moto kadri unavyounguza yale matunda ndivyo ugonjwa unavyozidi kuungua na hatimae mtoto anapona kabisa.

Toka nikiwa mdogo naona mama anawachanja watoto wanapoona kabisa na mama akawa anasifika Sana pale mtaani Hadi vijiji jirani walikuwa wanakuja kutibiwa.

Kitu ambacho kimenifanya kuandika hivi Ni kueleza namna ambavyo dawa ile inafanya kazi. Of course Ni Mambo ya kiganga ya jadi lakini chakushangaza zaidi pale Ni kwamba; mama mtoto alipouliza bengu umeiacha wapi? Yaani ugonjwa kauacha wapi? Anajibu nimeuacha njia panda. Maana yake ule ugonjwa unabaki njia panda kusubiri mama yeyote mwenye mtoto apite na hapohapo ugonjwa unamvaa mtoto na kwahivyo Ni lazima amtafute mama amtibu mtoto wake na kuuacha ugonjwa Tena njia panda.
Kitega uchumi Cha mama yangu ilikuwa njia panda kwa kila mtoto atakayepita hapo.

Huo Ni mfano mdogo kuonesha kwamba haya Mambo ya kiganga na kishirikina yapo duniani Ni vile tu mtu unakuwa hujayashuhudia.
 
Waooh what a testmony...
Tena inayomuhusu mama yako...
 
Imani ni nini
Imani ni kutokuwa na uhakika, ushahidi wala uthibitisho wa jambo au kitu fulani.
Huoni hata wewe unayo Imani juu ya kutokuwepo kwa shetani?
Mimi siamini kwenye kuamini.

Sina imani ya aina yeyote ile.

Sihitaji kuamini Nahitaji kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.
 
Imani ni kutokuwa na uhakika, ushahidi wala uthibitisho wa jambo au kitu fulani.

Mimi siamini kwenye kuamini.

Sina imani ya aina yeyote ile.

Sihitaji kuamini Nahitaji kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.
Kwahiyo unajua kuwa shetani hayupo
 
Unajua mwanadamu Ni mbishi Sana Sana Hadi pale akipigwa ndumba vizuri ndipo atajua kwamba hizi vitu zipo.
Ndumba ni nini?

Unathibitisha vipi uwepo wa hiyo ndumba?
Kuna Mambo nayatafakari bado hayaleti kuamini kwamba uchawi haupo. Nakumbuka nikiwa mdogo nakua, mama mzazi Kuna dawa moja yakienyeji alikuwa anawachanja watoto tu pale mtaani ambayo anadai alirithishwa na mkwe wake. Ilikuwa inaitwa dawa ya bengu. Ugonjwa wenyewe unaitwa bengu ambao mtoto anavimba tumbo anapata na homa, mwili kudhoofu na kinyesi kinakuwa manjano na kijani.
Sasa Kuna mti wa porini alikuwa anachubua magamba yake anaanika nakusaga ungaunga then anachimba matunda Fulani yaporini yapo Kama viazi mviringo Kisha anapasua vipande viwili ili wakati anamtibu mtoto huchukua matunda hayo kama kiazi mviringo na kuyachovya kwenye ule ungaunga kisha kumpaka mtoto eneo la tumbo ambapo tayari ameshamchanja chale eneo lote linaloumwa.
Tukio hili la kuchanja linafanyika njia panda
Na vifaa vyote vinawekwa kwenye kigae/kipande Cha chungu.
Akimaliza kumchanja nakumpaka dawa anamwambia mama mtoto aondoke atangulie nyumbani lkn asiongee na mtu wala kugeuka nyuma afike afungue mlango nakuingia ndani Kisha anasimama kwa ndani Kisha mama anafika na kumwita mama mtoto " mama Fulani mama Fulani"
Anaitika Kisha anamuuliza "bengu umeiacha wapi? Anajibu " nimeiacha njia panda" hapo zoezi la tiba linakuwa limekamilika hivyo Basi mama anampa maelekezo kwamba aondoke na Yale matunda Kama viazi mviringo achimbe kwenye jiko lakuni alafu awe anapikia hapo. Na kila anapokuwa anapikia hapo ule Moto kadri unavyounguza yale matunda ndivyo ugonjwa unavyozidi kuungua na hatimae mtoto anapona kabisa.
Kama kuna uchawi unaweza kutibu na kuponyesha magonjwa, kwa nini hautumiki kutibu na kuponyesha magonjwa kama kansa, ukimwi, TB, kisukari, shinikizo la damu n.k?
Toka nikiwa mdogo naona mama anawachanja watoto wanapoona kabisa na mama akawa anasifika Sana pale mtaani Hadi vijiji jirani walikuwa wanakuja kutibiwa.

Kitu ambacho kimenifanya kuandika hivi Ni kueleza namna ambavyo dawa ile inafanya kazi. Of course Ni Mambo ya kiganga ya jadi lakini chakushangaza zaidi pale Ni kwamba; mama mtoto alipouliza bengu umeiacha wapi? Yaani ugonjwa kauacha wapi? Anajibu nimeuacha njia panda. Maana yake ule ugonjwa unabaki njia panda kusubiri mama yeyote mwenye mtoto apite na hapohapo ugonjwa unamvaa mtoto na kwahivyo Ni lazima amtafute mama amtibu mtoto wake na kuuacha ugonjwa Tena njia panda.
Kitega uchumi Cha mama yangu ilikuwa njia panda kwa kila mtoto atakayepita hapo.

Huo Ni mfano mdogo kuonesha kwamba haya Mambo ya kiganga na kishirikina yapo duniani Ni vile tu mtu unakuwa hujayashuhudia.
Tumia huo uchawi, uganga au ushirikina kutibu na kuponyesha magonjwa kama kansa ndio tutajua kweli huo uchawi una nguvu kweli.
 
Unajua ID ni Kwa ajili yangu, sio Kwa ajili ya mtu mwingine, na pia nakudhalilisha wewe na nani ikiwa Mimi mwenyewe ndiye niliyejiita Technologist na sikumshirikisha yeyote.

Je, mkuu nakudhalilisha wewe na nani?

Usiende sana maisha Yako kuishi kumfurahisha Fulani/watu wewe utakuwa gerezani daima.

Hivi nani asiyejua mambo ya kishirikina kuanzia ndugu zetu Albino na mambo kama hayo?

Na narudia huyu mleta mada kama hajalewa basi ni Mmoja wa wachawi.
Niambie ni nani aliyemuua Albino akapata utajiri na akatajirika kweli?

Leta uthibitisho hapa wa mtu yeyote yule aliye tajirika kwa ushirikina wa kuua Albino.

Wewe si unadai na kuamini kuna utajiri wa kishetani na kishirikina.

Sasa Thibitisha mtu yeyote yule aliyepata utajiri kwa kuua Albino.
 
Waafrika wengi hasa watanzania wamekuwa wakiamini kwa muda mrefu kwamba kuna utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina. Cha kushangaza hali zao za kiuchumi ziko vilevile miaka nenda rudi.

Kama kweli kwa hakika unajua na kuamini kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina. Kwa nini usiutumie kwa nguvu zako zote uwe tajiri mkubwa nchini Tanzania, Afrika na duniani?

Kwa nini ujihangaishe kufanya kazi na kuchoka ilhali unajua kuna utajiri wa kishetani?

Kamtumie huyo shetani akutajirishe kama ni rahisi hivyo!!

Katoe kafara za kutosha ikiwezekana hata ukoo wako wote tuone kama biashara yako itakuwa kubwa au utaweza hata kufikia utajiri wa Bakhressa.

Kama kweli kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina. Kwa nini usiutumie kwa nguvu zako zote, Uwazidi matajiri wakubwa Afrika kama Aliko Dangote, Bakhressa, Mo Dewji na matajiri wengine wakubwa duniani kama Elon musk, Jeff Bezos?

Kama kweli unajua na kuamini kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina. Kwa nini hujautumia huo uchawi, ushirikina, uganga angalau ufike hata level za utajiri wa Mo Dewji?

Kama unaamini kuna Shetani akitolewa kafara anatoa mali au atakupa mali za kukutajirisha, Katoe kafara wazazi wako au wanao wote tuone kama hata utafika level za utajiri wa Dangote.

Au kama unaamini kuna utajiri wa ndagu, uganga, ulozi n.k
Mwambie huyo mtoa ndagu au mganga, Akupe utajiri angalau umfikie au umzidi Bakhressa kama ana huo uwezo.

Au mwambie huyo mganga akuwezeshe umiliki private jet ✈️, Kiwanda kikubwa cha uzalishaji, Magari makali ya kifahari kama Rolls-Royce Boat tail, Mercedes Maybach, Buggati, Lamborghini, Cadillac escalade au akishindwa sana angalau akupe Range rover sport kwa uganga wake tu.

Waafrika wengi hasa watanzania wana amini kuna utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina lakini bado maisha yao ni ya kimaskini, kikapuku, kifukara pangu pakavu tia mchuzi.

Kama unaamini au unajua kuna Shetani anatoa utajiri, Kamtumie kwa nguvu zako zote akutajirishe na uwe tajiri kweli, Angalau ufike level za utajiri wa kina Dangote.

Kisha ndio uanze kusema kwamba kuna utajiri wa kishetani.

Habari za utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina, Husikika tu kwa waafrika maskini choka mbaya, wajinga, wavivu, makapuku, makabwela na mafukara ambao wanashinda vijiweni na vilabuni waki danganyana na kupeana matumaini uchwara ya utajiri wa kufikirika.

Hakuna kiumbe kiitwacho Shetani kinacho toa utajiri. Utajiri na pesa hutoka kwa binadamu. Hakuna kiumbe kiitwacho Shetani chenye pesa.

Pesa ni za binadamu, Si za Mungu wala Shetani.

Hakuna Mungu, Shetani, Jini, Pepo au nguvu yeyote ile ya kimiujiza inayotoa Utajiri.

Pesa, Mali na utajiri hupatikana kwa nguvu za kibinadamu na wanadamu.

Ni wajanja wachache tu huwalaghai na kuwadanganya watu wengine kwamba kuna shetani anatoa utajiri ili kuwahadaa na kuwapumbaza watu wajinga wasiotaka kuhustle wenyewe wakitegemea mafanikio ya kuletewa.

Ndio maana unakuta wanawekewa masharti makali ya kupata pesa hizo ambao wao hudhani ndio masharti ya kishetani ya huyo shetani, Kumbe ni masharti ya binadamu wajanja tu.

The supernatural power is You, Yourself.

Hakuna Mungu wala Shetani anayetoa utajiri, pesa au mali.

I'm out.
Aliyefanikiwa kwa njia hiyo haramu anyooshe mkono juu.
 
Wewe ni mtoto ambaye hujui mengi ndo maana uzi mzima unaharisha tu.
Hunijui sikujui halafu unasema mimi ni mtoto, Yani unafanya speculations zako uchwara zisizo na uthibitisho wala mantiki yeyote.

Umeishiwa hoja unaleta Viroja.

It clearly seems you are not mentally enough to think and reason properly and critically.

Don't come here to advertise your ignorance.
 
Back
Top Bottom