Saaafi kabisaa naamini watalii watakuja kuona alipotokea binadamu wa kwanza sasa sijui ni Adam au!! Naimani Edeni ilikuwa ndani yaTanzania. Ahsante Maliasili kwa utafiti huu.
Utafiti waondoa utata kuhusu mahali alipotokea mwanadamu wa kwanza.
MkuuKwa hiyo sisi kama waTanzania tutafaidika kwa kipi kutokana na huo utafiti wa binadamu wa kwanza kuishi TZ ?
Kwa hiyo sisi kama waTanzania tutafaidika kwa kipi kutokana na huo utafiti wa binadamu wa kwanza kuishi TZ ?
Tanzania hatuna cha kujivunia tena ktk kundi la jamii yenye akili timam inatakiwa tukae na mbali,ikiwa kwa miaka 50+ tunaongozwa na chama kimoja na maendeleo hakuna na hata dalili za kukikataa hiko chama hatuna then tujiiteje?Zombies?
Hao watalii wakija kutalii huku wanazidi kushangaa tunavyotia aibu,mbuga za wanyama tunazo na wanyama karibia wote duniani tunao,madini tunayo ardhi yakutosha tunayo na bahari tunayo na vingine vitaje but haijulikani kama ndo tunatoka kwenye vita au ndo tunaingia vitani maana kila mmoja anaonekana ana njaa.
Mkuu usijidanganye edeni haikuwa Tanzania .
Sijui kuwa wa kwanza ndio sababu ya kuwa hivi
Bora tungekuwa wa mwisho
Kupanga ni kuchagua. Mipango yenye tija, Madhubuti, yenye malengo ya uhakika, na wasimamizi makini inahitajika.
Tunaweza kujifunza kutoka Oman, Singapore, Botswana. Muhimu kuwa serious na makini sana.
Wachawi ni sisi wenyewe.
Why you so sadisticSo what?!! Nonsense...