mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,855
Sisi tuna kama nuksi .....viongozi wetu can have sweet talks but no action .....katika kundi bara la Africa zenye wananchi m50+ kama S.A. Nigeria Egypt Algeria Sudan Ethiopia nk Tanzania ndo inaongoza kwa umasikini ila inaongoza kwa kua namari zasiri nyingi kuliko nchi yoyote....kama sio Nuksi nini?Tubadilike. Unajua UAE, Oatar, Oman, Saudi Arabia wasimamizi wa kila kitu watu wenye elimu wengi wanatoka nchi za nje ya nchi na wamendelea sana.
Pilots, Engineers, Architectures, Planners, Managers, wengi wanatoka nje, wenyewe wanawaambia tunataka hivi vitu wanawapa pesa na Jamaa wanafanya kazi nzuri kabisa.
Miaka 5/10 tukiplan vizuri tunakuwa mbali sana.