Tetesi: Hakuna utata, binadamu wa kwanza alitokea Tanzania. Nakupenda sana Tanzania!!!!

Sijui kwanini watu hua wanaamini huo upumbavu, hakuna "binadamu wa kwanza" kama ukifuata theory ya evolution, ni kundi la spicie linalo evolve hivyo huwezi kua na "binadamu wa kwanza". Kama ukifuata maandiko basi bibadamu wa kwanza ni Adam sasa sijui aliisha TZ?? upuuzi mwingine unakera.
 
Miaka alfu sita labda musa sio adam
mkuu hiyo ndiyo inayokubalika kwa kwa wasomi wote wa bibilia na wanaoamini kuwa dunia iliumbwa kwa siku sita na ya saba akapumzika.

inakokotolewa kutoka katika vizazi vya kwenye bibilia hiyohiyo tangu adam.
 
Mkuu tukiweka imani za dini pembeni hakuna scientific proof ya hyo theory yako.
1.mesopotamian civilization ambayo ndo kongwe zaidi duniani ilianzishwa ama kukua almost miaka 5500 (3500 BC) iliyopita.ukienda Malta kuna temple limejengwa around the same time 3500 BC
 
sawa mkuu. ingawa umejachagua muda mfupi sana. Messopotamian kings waliishi miaka 300,000 iliyopita.
ukweli wao, unaweza kuwa uongo kwangu.
nimefungwa na bibilia mkuu. ndio maana nikakwambia calculations deducted from biblical genealogy from adam to our generation.

ila sio ishu. nje ya bibilia watu waliishi millions ya miaka. tena kuna hadi mabakuli yanaokotwa na kufukuliwa kila kukicha yakipimwa yanakuta wahusika walikufa miaka millioni tatu hata ishirini iliyopita.
nimezungumzia bibilia kwa sababu am anchored in it and not endless scientific fictions.
 
Sawa mkuu,tuchukulia kwa mfano wewe ni archeologist lakini pia unakiamini kitabu chako cha dini(biblia),uko site honduras,katika chimba chimba yako unakutana na fuvu la binaadamu kama ilivyo ada ukafanya radiocarbon dating,ikaleta majibu kuwa fuvu lako lina miaka 8000,utafanya hitimisho gani,utachukua maamuzi gani.au utasema kifaa nacho kinatoa majibu ya fiksheni?
 
nakupata. chukulia na wewe ni archeologist, unakwenda kufukua mwili wa bibi yako unayemfahamu miaka yake ni 80/90.
unampima kwa kutumia hizohizo radiocarbon dating au kipimo chochote cha kisasa kinachotumia concept ya radioactivity majibu yakaja anamiaka laki nne. utaamini kipimo au ukweli wako.
mimi nitatenganisha mambo ya shule na imani hata kama nikiwa archeologist PHD.
nimeandiko hivyo maana mifano ipo mingi ya hicho nilichokutolea mfano. hata wewe ukipimwa unaweza kukutwa unamiaka millioni nne. hayo mambo yamefanyika maabara mkuu situngi.
 
Kwahyo tatizo ni usahihi wa kipimo sasa,hilo liko kwenye vipimo vyote,hata cha maleria,sidhani kama kuna kipimo chenye acuracy ya 100%.vipi kipimo kikiwa sahihi je?.
 
hicho kipimo kinahitaji assumptions nyingi sana ili kiaminike.
Hasa kinapotumika kupima umri wa kitu bila kujua siku ya kuzaliwa kwake. kimejeribiwa kwenye real case scenaria abazo majibu yamefichwa majibu yake yamekuwa na dispersion ya hatari kutoka kwenye true value.
Acha kitumike tu kwenye vitu ambavyo hakuna mwenye ushahidi wa kuvikosoa, hivyo assumptions and suggestions zinawza kukibeba na kutupa angalau kianzio cha kisayansi ili mambo yaende.
 
Back
Top Bottom