Tetesi: Hakuna utata, binadamu wa kwanza alitokea Tanzania. Nakupenda sana Tanzania!!!!

Sisi tuna kama nuksi .....viongozi wetu can have sweet talks but no action .....katika kundi bara la Africa zenye wananchi m50+ kama S.A. Nigeria Egypt Algeria Sudan Ethiopia nk Tanzania ndo inaongoza kwa umasikini ila inaongoza kwa kua namari zasiri nyingi kuliko nchi yoyote....kama sio Nuksi nini?
 
Hakuna utata wahutu si Watanzania na ndiyo sababu wana tabia za ajabu ajabu ambazo ziko tofauti na tabia za Watanzania. Wana chuki za kutisha, hupenda kulipiza visasi, kuteka, kutesa na hata kuua.
Mkuu hiyo imefanyiwa utafiti
 
Je wewe binafsi umefanya jitihada gani kujinasua katika janga hilo.?
 
Eden ilikua pale Mwananyamala Koma Koma
 
Kweli nakubaliana ninaadam wa lkwanza alifikia chato ni muhutu mwenye kichwa cha pembe
 
Je wewe binafsi umefanya jitihada gani kujinasua katika janga hilo.?
Jitihada nimefanya sana ila wengine hawataki kuzifanya,kama kura napiga lakini wapi.biashara nafanya lakini sheria kandamizi zilizowekwa na waliojipachika madaraka zinaniangusha....nifanyeje?niingie na mimi msituni?

Ni mengi nikiyaandika hapa kuyasoma yote hutaweza.
 
Hakuna nuksi yoyote mkuu, tumebarikiwa sana, tubadilike, tuwe serious, tuwe makini, tushikiriane dini zote, makabila yote, vyama vyote, sehemu zote, tukiweka maslahi ya Taifa juu ya vyote / kila kitu.

Kwanini tushindwe na nchi ndogo kama, Singapore, Dubai, hata Rwanda. Hawa watu Wana akili kuliko sisi? Hapana ni kwamba wamejipanga vizuri.
 
Mkuu hayo yote yalishaongelea kwa zaidi ya miaka 50 ila hamna kitu mpaka 2018 wtzn wa ishi chini yamsitale international poverty line....ila chakushaaganza viongozi wetu bado wanamajivuno na majigambo.
 
Hivyo ni vizazi vingine vilivyopita, tusiwafuate wao, kama walishindwa ni wao sio kizazi chetu, Sisi tupigane kivyetu. Tujifunze kutofanya makosa kama yao.
 
Hivyo ni vizazi vingine vilivyopita, tusiwafuate wao, kama walishindwa ni wao sio kizazi chetu, Sisi tupigane kivyetu. Tujifunze kutofanya makosa kama yao.
Kaka huwezi kubadilisha chochote bila kushika mamlaka.
 
Kaka huwezi kubadilisha chochote bila kushika mamlaka.

Lakini unaweza kushawishi mamlaka. Hata kama hatawakubaliana na were leo, baadaye wakaweza kukubali. Unachotakiwa ni critical mass wanaojitambua, na kuweka maslahi ya nchi mbele ya maslahi binafsi au ya vyama, kabila, dini. Kama UK, USA or France. It can be done.
 
Mbona habari hii ni hafifu sana kwa mtu anaeanza kupashwa.Hawajaeleza kwa kina wamegundua nini na kupima vipi.
 
Mbona habari hii ni hafifu sana kwa mtu anaeanza kupashwa.Hawajaeleza kwa kina wamegundua nini na kupima vipi.
Wenda taarifa kamili kutoka Maliasili inaweza kuwa na vitu hivyo
 
Nadhan ilikuwa mbinguni lakini ikashuka Tanzania baada ya dhambi
Ndio maana tunapigwa sana kumbe sababu ndiyo hiyo! Mara rada, mara EPA, mara Richmond, Escrow, Meremeta, trilion 1.5, majengo pacha, nyumba za serikali, kivuko, Kiwira, mauaji ya watu wasikuwa na hatia, watu kupotea, kupigwa risasi hadharani ... you name it. hii inaonesha hata jehanamu ipo hapa hapa kwa shida hizi tunazozipata? Cha moto tutakiona ndio maana tunapigwa halafu tunaambiwa sisi wapumbavu na malofa
 
Well said!
Iwe kweli au uwongo, nitaitetea nchi yangu Tanzania kwa kila hali, sita kaa niinenee vibaya kwa jambo lolote!
Soma alama za nyakati na kujali familia yako kwanza!
Ndiyo binadamu wa kwanza ametoka nchini kwetu Tanzania, Africa!
Wadhungu ni wajanja sana twende nao kwa hekima na ufahamu mkuu!
Tamaa za wachache wanaotaka madaraka kikuku wamesha sambaratishwa milele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…