ni upumbavu kuamini evolution, ni upumbavu kuamini kuwa binadamu wa kwanza alikuwa tz, bora tusipate hela za utalii kuliko kuamini upumbavvv na ushenzi kama huo.Saaafi kabisaa naamini watalii watakuja kuona alipotokea binadamu wa kwanza sasa sijui ni Adam au!! Naimani Edeni ilikuwa ndani yaTanzania. Ahsante Maliasili kwa utafiti huu.
Utafiti waondoa utata kuhusu mahali alipotokea mwanadamu wa kwanza.
Miaka alfu sita labda musa sio adamadam na hawa wangekuwepo wangekuwa na takribani miaka 6000.
huyo mdau wa tanzania anamamiaka nadhani mamilioni.
adam na hao jamaa ni maji na mafuta
mkuu hiyo ndiyo inayokubalika kwa kwa wasomi wote wa bibilia na wanaoamini kuwa dunia iliumbwa kwa siku sita na ya saba akapumzika.Miaka alfu sita labda musa sio adam
Mkuu tukiweka imani za dini pembeni hakuna scientific proof ya hyo theory yako.mkuu hiyo ndiyo inayokubalika kwa kwa wasomi wote wa bibilia na wanaoamini kuwa dunia iliumbwa kwa siku sita na ya saba akapumzika.
inakokotolewa kutoka katika vizazi vya kwenye bibilia hiyohiyo tangu adam.
sawa mkuu. ingawa umejachagua muda mfupi sana. Messopotamian kings waliishi miaka 300,000 iliyopita.Mkuu tukiweka imani za dini pembeni hakuna scientific proof ya hyo theory yako.
1.mesopotamian civilization ambayo ndo kongwe zaidi duniani ilianzishwa ama kukua almost miaka 5500 (3500 BC) iliyopita.ukienda Malta kuna temple limejengwa around the same time 3500 BC
Sawa mkuu,tuchukulia kwa mfano wewe ni archeologist lakini pia unakiamini kitabu chako cha dini(biblia),uko site honduras,katika chimba chimba yako unakutana na fuvu la binaadamu kama ilivyo ada ukafanya radiocarbon dating,ikaleta majibu kuwa fuvu lako lina miaka 8000,utafanya hitimisho gani,utachukua maamuzi gani.au utasema kifaa nacho kinatoa majibu ya fiksheni?sawa mkuu. ingawa umejachagua muda mfupi sana. Messopotamian kings waliishi miaka 300,000 iliyopita.
ukweli wao, unaweza kuwa uongo kwangu.
nimefungwa na bibilia mkuu. ndio maana nikakwambia calculations deducted from biblical genealogy from adam to our generation.
ila sio ishu. nje ya bibilia watu waliishi millions ya miaka. tena kuna hadi mabakuli yanaokotwa na kufukuliwa kila kukicha yakipimwa yanakuta wahusika walikufa miaka millioni tatu hata ishirini iliyopita.
nimezungumzia bibilia kwa sababu am anchored in it and not endless scientific fictions.
nakupata. chukulia na wewe ni archeologist, unakwenda kufukua mwili wa bibi yako unayemfahamu miaka yake ni 80/90.Sawa mkuu,tuchukulia kwa mfano wewe ni archeologist lakini pia unakiamini kitabu chako cha dini(biblia),uko site honduras,katika chimba chimba yako unakutana na fuvu la binaadamu kama ilivyo ada ukafanya radiocarbon dating,ikaleta majibu kuwa fuvu lako lina miaka 8000,utafanya hitimisho gani,utachukua maamuzi gani.au utasema kifaa nacho kinatoa majibu ya fiksheni?
Kwahyo tatizo ni usahihi wa kipimo sasa,hilo liko kwenye vipimo vyote,hata cha maleria,sidhani kama kuna kipimo chenye acuracy ya 100%.vipi kipimo kikiwa sahihi je?.nakupata. chukulia na wewe ni archeologist, unakwenda kufukua mwili wa bibi yako unayemfahamu miaka yake ni 80/90.
unampima kwa kutumia hizohizo radiocarbon dating au kipimo chochote cha kisasa kinachotumia concept ya radioactivity majibu yakaja anamiaka laki nne. utaamini kipimo au ukweli wako.
mimi nitatenganisha mambo ya shule na imani hata kama nikiwa archeologist PHD.
nimeandiko hivyo maana mifano ipo mingi ya hicho nilichokutolea mfano. hata wewe ukipimwa unaweza kukutwa unamiaka millioni nne. hayo mambo yamefanyika maabara mkuu situngi.
hicho kipimo kinahitaji assumptions nyingi sana ili kiaminike.Kwahyo tatizo ni usahihi wa kipimo sasa,hilo liko kwenye vipimo vyote,hata cha maleria,sidhani kama kuna kipimo chenye acuracy ya 100%.vipi kipimo kikiwa sahihi je?.