Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
Abraham Lincoln-democracy is a government of the people, for the people by the people.
Ludovick Uttoh- maoni yake kusema kuwa kila kitu kinafanywa na mtu mmoja serikalini. (Sijakopi kama ilivyo)
Tanzania kila kitu kina fanywa na rais hata kama kimefanywa na mtu mwingine na yeye anapenda.
Mfano utakuta Rc,dc whatever anasema rais katoa 250M kwaajili ya ujenzi wa shule ...inashangaza kwani kuzitoa mfukoni mwake?
Jana mtangazaji wa TBC taifa anasoma taarifa ya habari anasema serikali imeiagiza Wizara ya Viwanda na biashara, kumbe serikali ni ipi?
Namuunga mkono CAG huyo kusema kila kitu kimefanywa na mtu mmoja na ubinafsi, unafiki na hujuma na inaficha uwajibikaji.
Karibuni kwa maoni zaidi.