Hakuna wa kuilaumu SIMBA- Hongera kwa wachezaji wa Simba wote na bench la ufundi likiongozwa na Babu Robati

Hakuna wa kuilaumu SIMBA- Hongera kwa wachezaji wa Simba wote na bench la ufundi likiongozwa na Babu Robati

Habari zenu

Nimekaa dk kadhaa nikisikilizia nyuzi za kuziponda SIMBA sizioni zikianzishwa au zikitembea labda zianze sasa hivi baada ya hii nyuzi

Ni wazi tosha MNYAMA kajitahidi sana Hongera nyingi sana Kwa SIMBA, Mimi kama shabiki wa SIMBA sina cha kuwadai sijui mashabiki wengine

Nafikiri next season tunaweka timu vizuri Kwa kufanya vizuri zaidi wao wenyewe hawaamini nini! Kilikuwa kimeendelea

Kama unajua SOKA lazima uipongeze SIMBA lakini kama maisha yako ni malalamiko utalalamika mpaka siku ya mwisho yako hapa duniani

HONGERA SANA KWENU SIMBA SPORTS CLUB- HAKIKA MMETUWAKILISHA VYEMA
Upumbavu mnatumika kisiasa muendelee kufungwa tu
 
Simba katoka kama kanuni ya mchezo tu kuhitaji mshindi mmoja ila sio kuzidiwa mbinu na mpinzani. Kudos kwa Wachezaji, bench la ufundi, wanachama na mashabiki kwa ujumla

Hakika mkuu
 
Wasiwasi wangu ni Babu robati kuvunjishwa mkataba na timu m-badala na simba
 
Back
Top Bottom