Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upumbavu mnatumika kisiasa muendelee kufungwa tuHabari zenu
Nimekaa dk kadhaa nikisikilizia nyuzi za kuziponda SIMBA sizioni zikianzishwa au zikitembea labda zianze sasa hivi baada ya hii nyuzi
Ni wazi tosha MNYAMA kajitahidi sana Hongera nyingi sana Kwa SIMBA, Mimi kama shabiki wa SIMBA sina cha kuwadai sijui mashabiki wengine
Nafikiri next season tunaweka timu vizuri Kwa kufanya vizuri zaidi wao wenyewe hawaamini nini! Kilikuwa kimeendelea
Kama unajua SOKA lazima uipongeze SIMBA lakini kama maisha yako ni malalamiko utalalamika mpaka siku ya mwisho yako hapa duniani
HONGERA SANA KWENU SIMBA SPORTS CLUB- HAKIKA MMETUWAKILISHA VYEMA
Changia kwa hoja, povu la nini?Upumbavu mnatumika kisiasa muendelee kufungwa tu
Hauna timu wewe UTOPOLO- tulipo sisi utachukua hata miaka 20 kufika- tuliza bakuli hilo
Kumbe unajua YANGA siyo timu ni Club mahiri na ya zamani zaidi hapa nchini.Ukiwa YANGA sawa sawa hauna timu
Kipi mkuuDR HAYA LAND unachokitafuta utakipata.
we muache tuu....Kipi mkuu
🤔🤔🤔🤔🤔we muache tuu....
ويداد الدار البيضاء 4 - 3 سيمباUTOPOLO sio timu ni kikundi cha upatu/vikoba