Kitimoto hicho haramu
Ni kitamu sana, wenzako wanakula sanaKitimoto haramu mkuu hatutumii
Sisi tunafika nusu ww kila mwaka kombe hilohilo la roboUpumbavu mnatumika kisiasa muendelee kufungwa tu
Nakama akibakia ,atafutiwe viungo wawili muhimu ,wakuamua magoli yafungwe vipi na jean baleke na general Phil ,wasisajiliwe na wachezaji wengi wapunguzwe waliopo wakigeni ,harafu viungo hapo ,kati wapatikane wawili wandani mmoja (feitoto ) nawakigeni mmoja ,wanaolipwa pesa ndefuBabu yuko fit sana, SIMBA wasipojidhatiti watakosa kocha mzuri sanaa hapo
Sisi wana Simba hatuna cha kuwadai wachezaji wetu.Wamecheza kama ilivyopaswa.Benchi la ufundi wako vizuri sana.Tukutane mwakaniHabari zenu
Nimekaa dk kadhaa nikisikilizia nyuzi za kuziponda SIMBA sizioni zikianzishwa au zikitembea labda zianze sasa hivi baada ya hii nyuzi.
Ni wazi tosha MNYAMA kajitahidi sana Hongera nyingi sana Kwa SIMBA, Mimi kama shabiki wa SIMBA sina cha kuwadai sijui mashabiki wengine
Nafikiri next season tunaweka timu vizuri Kwa kufanya vizuri zaidi wao wenyewe hawaamini nini! Kilikuwa kimeendelea.
Kama unajua SOKA lazima uipongeze SIMBA lakini kama maisha yako ni malalamiko utalalamika mpaka siku ya mwisho yako hapa duniani
HONGERA SANA KWENU SIMBA SPORTS CLUB- HAKIKA MMETUWAKILISHA VYEMA
Maneno meengi kama ya Zelensky,nyie mnaojifanya mna viwango mbona tunawaburuza kwenye ligi.Hamna viwango hivyo
Wanaoongoza kuiponda SIMBA sio wengine bali ni wale waliobugia mbili kavu kwenye derby[emoji3]Habari zenu
Nimekaa dk kadhaa nikisikilizia nyuzi za kuziponda SIMBA sizioni zikianzishwa au zikitembea labda zianze sasa hivi baada ya hii nyuzi.
Ni wazi tosha MNYAMA kajitahidi sana Hongera nyingi sana Kwa SIMBA, Mimi kama shabiki wa SIMBA sina cha kuwadai sijui mashabiki wengine
Nafikiri next season tunaweka timu vizuri Kwa kufanya vizuri zaidi wao wenyewe hawaamini nini! Kilikuwa kimeendelea.
Kama unajua SOKA lazima uipongeze SIMBA lakini kama maisha yako ni malalamiko utalalamika mpaka siku ya mwisho yako hapa duniani
HONGERA SANA KWENU SIMBA SPORTS CLUB- HAKIKA MMETUWAKILISHA VYEMA
Hawana timu wakati 90% washaingia nusu final?Hauna timu wewe UTOPOLO- tulipo sisi utachukua hata miaka 20 kufika- tuliza bakuli hilo
hakuna wa kuwalaimu kabisaHabari zenu
Nimekaa dk kadhaa nikisikilizia nyuzi za kuziponda SIMBA sizioni zikianzishwa au zikitembea labda zianze sasa hivi baada ya hii nyuzi.
Ni wazi tosha MNYAMA kajitahidi sana Hongera nyingi sana Kwa SIMBA, Mimi kama shabiki wa SIMBA sina cha kuwadai sijui mashabiki wengine
Nafikiri next season tunaweka timu vizuri Kwa kufanya vizuri zaidi wao wenyewe hawaamini nini! Kilikuwa kimeendelea.
Kama unajua SOKA lazima uipongeze SIMBA lakini kama maisha yako ni malalamiko utalalamika mpaka siku ya mwisho yako hapa duniani
HONGERA SANA KWENU SIMBA SPORTS CLUB- HAKIKA MMETUWAKILISHA VYEMA
mlianzaga hivi hiviHauna timu wewe UTOPOLO- tulipo sisi utachukua hata miaka 20 kufika- tuliza bakuli hilo
Check statistics ....66% kwa 34% ....pasi...220 kwa 440 .....short on target 0 wenzao 4......Simba katoka kama kanuni ya mchezo tu kuhitaji mshindi mmoja ila sio kuzidiwa mbinu na mpinzani. Kudos kwa Wachezaji, bench la ufundi, wanachama na mashabiki kwa ujumla