Hakuna wa kuilaumu SIMBA- Hongera kwa wachezaji wa Simba wote na bench la ufundi likiongozwa na Babu Robati

Kitimoto hicho haramu
IMG-20230429-WA0028.jpg
 
Babu yuko fit sana, SIMBA wasipojidhatiti watakosa kocha mzuri sanaa hapo
Nakama akibakia ,atafutiwe viungo wawili muhimu ,wakuamua magoli yafungwe vipi na jean baleke na general Phil ,wasisajiliwe na wachezaji wengi wapunguzwe waliopo wakigeni ,harafu viungo hapo ,kati wapatikane wawili wandani mmoja (feitoto ) nawakigeni mmoja ,wanaolipwa pesa ndefu
 
Habari zenu

Nimekaa dk kadhaa nikisikilizia nyuzi za kuziponda SIMBA sizioni zikianzishwa au zikitembea labda zianze sasa hivi baada ya hii nyuzi.

Ni wazi tosha MNYAMA kajitahidi sana Hongera nyingi sana Kwa SIMBA, Mimi kama shabiki wa SIMBA sina cha kuwadai sijui mashabiki wengine

Nafikiri next season tunaweka timu vizuri Kwa kufanya vizuri zaidi wao wenyewe hawaamini nini! Kilikuwa kimeendelea.

Kama unajua SOKA lazima uipongeze SIMBA lakini kama maisha yako ni malalamiko utalalamika mpaka siku ya mwisho yako hapa duniani

HONGERA SANA KWENU SIMBA SPORTS CLUB- HAKIKA MMETUWAKILISHA VYEMA
Sisi wana Simba hatuna cha kuwadai wachezaji wetu.Wamecheza kama ilivyopaswa.Benchi la ufundi wako vizuri sana.Tukutane mwakani

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Wanasimba acheni kujifariji, kila mzimu mnaishia robo. Mnaacha kujitafakari mnakazana et mmepambana kiume, sijui hamna cha kumlaumu.

Kolo ni kolo tu.
 
Habari zenu

Nimekaa dk kadhaa nikisikilizia nyuzi za kuziponda SIMBA sizioni zikianzishwa au zikitembea labda zianze sasa hivi baada ya hii nyuzi.

Ni wazi tosha MNYAMA kajitahidi sana Hongera nyingi sana Kwa SIMBA, Mimi kama shabiki wa SIMBA sina cha kuwadai sijui mashabiki wengine

Nafikiri next season tunaweka timu vizuri Kwa kufanya vizuri zaidi wao wenyewe hawaamini nini! Kilikuwa kimeendelea.

Kama unajua SOKA lazima uipongeze SIMBA lakini kama maisha yako ni malalamiko utalalamika mpaka siku ya mwisho yako hapa duniani

HONGERA SANA KWENU SIMBA SPORTS CLUB- HAKIKA MMETUWAKILISHA VYEMA
Wanaoongoza kuiponda SIMBA sio wengine bali ni wale waliobugia mbili kavu kwenye derby[emoji3]
Kwahiyo wamepata pa kupunguzia machungu
 
Habari zenu

Nimekaa dk kadhaa nikisikilizia nyuzi za kuziponda SIMBA sizioni zikianzishwa au zikitembea labda zianze sasa hivi baada ya hii nyuzi.

Ni wazi tosha MNYAMA kajitahidi sana Hongera nyingi sana Kwa SIMBA, Mimi kama shabiki wa SIMBA sina cha kuwadai sijui mashabiki wengine

Nafikiri next season tunaweka timu vizuri Kwa kufanya vizuri zaidi wao wenyewe hawaamini nini! Kilikuwa kimeendelea.

Kama unajua SOKA lazima uipongeze SIMBA lakini kama maisha yako ni malalamiko utalalamika mpaka siku ya mwisho yako hapa duniani

HONGERA SANA KWENU SIMBA SPORTS CLUB- HAKIKA MMETUWAKILISHA VYEMA
hakuna wa kuwalaimu kabisa
 
Aisee! Ukifuatilia huu uzi, comment za wana Yanga zinadhihirisha ni jinsi gani hawana akili kabisa. Kilichotokea Morocco wengi hawakutarajia Simba kufungwa goli moja tu? Hii inaonesha ni jinsi gani kiwango cha simba kimeimarika
 
Simba katoka kama kanuni ya mchezo tu kuhitaji mshindi mmoja ila sio kuzidiwa mbinu na mpinzani. Kudos kwa Wachezaji, bench la ufundi, wanachama na mashabiki kwa ujumla
Check statistics ....66% kwa 34% ....pasi...220 kwa 440 .....short on target 0 wenzao 4......
 
Back
Top Bottom