Hakuna wa kumzidi Lunya kwa sasa

Nyimbo zake yingi kuvimba, kula pisi , majungu , starehe na vitu vinavyohusiana na hayo , huwezi kukuta vitu sensitive hata siku moja.
 
Lunya aliingia na style ya freestyle ndio imemtambulisha kwenye game. Mwanzo walianza kama Duo ya SMG ila waka split so far wote wakali Lunya, Conboi na Salmin Swagz
ila alie make it to the top ni Lunya.
na conboi yuko vizuri sana ninachofurahi ana rap kama 2pac tu
 
Usikute tunabishana na lunya😀😀
 
Mnabishania rappers mbovu ,wabongo kweli mnasahau mapema bora niwasikilize wakina tupac, kanye na Kendrick Lamar tu angalau kuna contents of changes
 
Lunya umeona uje ujianzishie uzi?
 
Contawa sub alafu Motra kaanza????
 
P mawenge hayupo mkuu afu Motra yupo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…