Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Nash mc au maalim hebu sikiliza ngoma inaitwa mwalimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hip hop haiimbwi.Kumbe Lunya anaimba Hip Hop?
Nilikuwa sijui
Kwa hiyo Lunya ana chana?Hip hop haiimbwi.
Hip hop is life style.
Rap is music.
Msafiri diof anachanaKwa hiyo Lunya ana chana?
Lunya naye?Msafiri diof anachana
busta rhyme anachana
Hata wewe unachanaLunya naye?
na conboi yuko vizuri sana ninachofurahi ana rap kama 2pac tuLunya aliingia na style ya freestyle ndio imemtambulisha kwenye game. Mwanzo walianza kama Duo ya SMG ila waka split so far wote wakali Lunya, Conboi na Salmin Swagz
ila alie make it to the top ni Lunya.
Usikute tunabishana na lunya😀😀Soft rap ndio mziki wa kibiashara na ndo inafanya vizuri kwa sasa hizo hiphop ngumu mtaishia kusikilizia getto na masela tu. Nakupa mfano east Africa ukitaja Rapper bora bas ni Kaligraph jones hakuna ubishi na je yeye anarap kwa style gani? Hakuna ubishi tym changes. Huu ni wakati wa lunya
Contawa sub alafu Motra kaanza????Top List kwa hii Generation ni mtazamo tu.
1.FidQ [emoji146]
2.Dizasta vina[emoji238]
3.Stamina[emoji981]
4.Monicetralzone[emoji350]
5.Con boi
6.Salmin swagg
7.Young killer
8.Young Lunya
9.Country boe
10.Motral the future
SAB.
Rapcha
Marifaa
Nacha
Kontawa
Ghafla bin Vuu.
P mawenge hayupo mkuu afu Motra yupo..Top List kwa hii Generation ni mtazamo tu.
1.FidQ [emoji146]
2.Dizasta vina[emoji238]
3.Stamina[emoji981]
4.Monicetralzone[emoji350]
5.Con boi
6.Salmin swagg
7.Young killer
8.Young Lunya
9.Country boe
10.Motral the future
SAB.
Rapcha
Marifaa
Nacha
Kontawa
Ghafla bin Vuu.