CDM siyo chama, ni genge na kitega uchumi cha wachagga. Haitakuja kutokea wakapewa nchi hata kama ardhi itageuka juu chini. Na hakuna kitu utafanyaHawana sera au hizo ni propaganda za kijinga za chama chako za kusema wapinzani hawana sera?
Huzifahamu sera za CHADEMA? Hujui itikadi na falsafa ya CHADEMA?
Kutokujua kwako hakufanyi wawe hawana sera.
Acha kukariri mambo ya kijinga.
Huu ndiyo ukweli! Huwa najiuliza, hivi wale wanaodai wananchi wanavikataa vyama vya upinzani, huwa wanatumia vigezo gani? Kipimo halali, ni uchaguzi huru. Aliyepata kura tatu, zithaminiwe. Aliyepata kumi, naye kura zake zitambulike, na kuthaminiwa!Ccm haitegemei kura za wananchi kushinda uchaguzi, hata kikija chama gani bado kwa kuwatumia wateule wa wakurugenzi na polisi watashinda, Tanzania uchaguzi haufanyiki bali huwa ni maigizo tu.
Kweli mimi kilaza hujakosea.Kupambana na ufisadi siyo itikadi we kilaza.
We mjinga,ulibakwa na wachaga nini.CDM siyo chama, ni genge na kitega uchumi cha wachagga. Haitakuja kutokea wakapewa nchi hata kama ardhi itageuka juu chini. Na hakuna kitu utafanya
Sema Jamaa kama yule wa Guinnea kwenye Jeshi letu hakuna
Wangekuwepo tungeonea kipindi Cha Magufuli alivyotoa ubunge kama Bonus Kwa watu anaowataka yeye
Utakua hujui kitu au ni mwehu.Kupambana na ufisadi siyo itikadi we kilaza.