Hakuna watu wanafiki na wabaguzi hapa nchini kama masikini

Na asilimia kubwa ya members humu jamii forum ni masikini, na ndio wanaotusumbua humu na thread zao za udini, kukashifu imani za wengine, na mada za ubaguzi wa jamii flani.

Badilikeni bwana
KWELI KABISA mtu mwenye pesa zake hawezi kujadili mambo ya dini za wenzake
 
mmoja wapo ni wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…