Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Hawa

hakuna watu wanaojiona maisha wameyapatia kama wale walionusurika kutumbuliwa kwenye msako wa vyeti feki...
 
Hakuna watu wanaonaga wameyapatia maisha kama wale wanaotoka gym, mkononi anachupa ya maji ya kilimanjaro hawa wanaonaga wameshawin maisha kabisaa
 
Hakuna watu wanao jiona maisha wameyapatia kama wale watu ambao wapo WhatApp lakini huwa Hawapost kitu chochote Status.
 
Hakuna watu wanaojiona maisha wameyapatia kama wadaiwa sugu wa tala na branch
 
Na kuna wale baada ya maneno mengi wana pewa jibu la "ivi kweli unanipenda au unataka unichezee??" huwa wanajiona kwel washa yawin
 
Kuvaa bukta na sandoz atakuwa ameyspatisje, fafanua kdogo.
 
washabiki wa Yanga nao wanaona wako juu wameyapatia maisha
 
1 Thessalonians 5:3 King James Version (KJV)
3 For when they shall say, Peace and safety; then sudden destruction cometh upon them, as travail upon a woman with child; and they shall not escape.

 
[emoji91]Hakuna watu wanaona maisha wameyspatia, kama mademu wenye TAKO kubwa Instagram [emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…