DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Hakuna watu wanajiona wameyapatia maisha kama yule mzee anayetumbua na kuteua kila uchwao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaHakuna watu wanajiona maisha wameyapatia kama wanawake wenye chura
Hakuna watu wanajiona maisha wameyapatia kama wanawake wenye chura
Bila picha utakuwa unawasingizia tu...
Dah umbuje eka nkutag hantuKuna habari gani humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].dahhakuna wanaojiona wameyapatia kama walokole
Kuna mbwai umbuje ntaogohaDah umbuje eka nkutag hantu
hakuna watu wanaojiona maisha wameyapatia kama wale walionusurika kutumbuliwa kwenye msako wa vyeti feki...[emoji419]Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Wale Watu Ambao Wanaokaa Kwenye Viti Virefu Vya Pale Kaunta Vya Bar /Club Wakinywa Pombe.[emoji3]
[emoji419]Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Wale Wanaovaa Kibukta na Sendozi.[emoji23]
[emoji419]Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Wale Waliopata Siti Kwenye Mwendokasi.[emoji23]
[emoji419]Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Wale Wenye Vi-Baby Walker Barabarani.[emoji23]
[emoji419]Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Bodaboda na Bajaji Wakati wa Foleni Kubwa.[emoji23]
[emoji419]Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Wale Ambao Hawana Supplimentary za Mitihani.[emoji23]
[emoji419]Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Yule Konda wa Daladala Ilojaza Mpaka Mlangoni.[emoji23]
[emoji419]HAKUNA.
Mkuu naomba ufafanuzi wa hiyo hela 7800/= kwanini munaitamka mpaka twitter[emoji23][emoj23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu demu akaachwa na 7800[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Duu weee jamaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hakuna wanaojiona wameyapatia kama walokole
Hakuna watu wanao jiona maisha wameyapatia kama wale watu ambao wapo WhatApp lakini huwa Hawapost kitu chochote Status.[emoji419]Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Wale Watu Ambao Wanaokaa Kwenye Viti Virefu Vya Pale Kaunta Vya Bar /Club Wakinywa Pombe.[emoji3]