Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Hawa

Hakuna watu wanajiona maisha wameyapatia kama wanawake wenye chura
na wewe ukiwemo au umejinyima au kunyimwa chura?
account yangu imekuwa hacked na wasiojulikanaπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Hakuna watu wanaona wameyapatia maisha kama wizi wa kura na kutangaziwa ushindi wa wizi.


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Usisahau wafanyakazi wa ofisi za wakurugenz huwaona walio field kama waliofel maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…