Tit 4 Tat
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 737
- 997
Naona mabahari msumari wamekali sasa maumivu wanayasikilzia....Aya tengenezen sentensi kuhusu mabaharia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mabahari msumari wamekali sasa maumivu wanayasikilzia....Aya tengenezen sentensi kuhusu mabaharia
KivipiHao kweli wameyapatiaa hilo halina ubishi
[emoji28]Hakuna watu wanajiona wamepatia maisha kama wenye vitambulisho vya NIDA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
na wewe ukiwemo au umejinyima au kunyimwa chura?Hakuna watu wanajiona maisha wameyapatia kama wanawake wenye chura
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu ni mimi kabisaHakuna watu wanajiona wamepatia maisha kama wenye vitambulisho vya NIDA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu ni mimi kabisa
Yaani huwa nafurahi hadi moyo unaruka viduku.hakuna watu wanajiona wameyapatia maisha kama wale walomtumia demu nauli na akaja kweli
Hakuna watu wanaojiona wameyapatia maisha Kama wale wanaokandia single mothers
Yaani kuna mmoja hata hajibu message!K
Dah moderators sio [emoji28]
Nilitaka kuuliza swali kama lako lakini nikajizuwia. Akikujibu nitag mkuu naziangalia sana hizo lips wallahiHizo lips ni zako kwenye avatar?
Hapana mkuuHizo lips ni zako kwenye avatar?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu ni mimi kabisa
Hatimae umefufuka, karibu tena.interesting...
Hatimae umefufuka, karibu tena.
Na wale waliokua chimbo mnajiona mmepatiaaaaaa sana life eeh[emoji848]Na wale wadada wa JF waliofunga pm je..na wenyewe mnajiona mmepatia life eeh?