Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Hawa

Hapo ungeendelea ungefikia kwenye level yako , na wewe ungekuwa umeyapatia maisha,
 
Hakuna watu wanaojiona wamepatia Maisha Kama wale wanaochukua mkopo bank ya CRDB
 
[emoji419]Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Wale Watu Ambao Wanaokaa Kwenye Viti Virefu Vya Pale Kaunta Vya Bar /Club Wakinywa Pombe.[emoji3]

[emoji419]Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Wale Wanaovaa Kibukta na Sendozi.[emoji23]

[emoji419]Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Wale Waliopata Siti Kwenye Mwendokasi.[emoji23]

[emoji419]Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Wale Wenye Vi-Baby Walker Barabarani.[emoji23]

[emoji419]Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Bodaboda na Bajaji Wakati wa Foleni Kubwa.[emoji23]

[emoji419]Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Wale Ambao Hawana Supplimentary za Mitihani.[emoji23]

[emoji419]Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Yule Konda wa Daladala Ilojaza Mpaka Mlangoni.[emoji23]

[emoji419]HAKUNA.
Kumbe unatania nilijua uko serious. Nilitaka nikusaidia wanaofanya kazi TRA.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1373]
 
Back
Top Bottom